Naitaji msaada wenu ndugu na marafiki

Naitaji msaada wenu ndugu na marafiki

Electronian

Member
Joined
Sep 1, 2013
Posts
16
Reaction score
0
Mimi nkijana mwnye umri wa miaka 19. ambeye niliye fanikiwa kuitimu elimu ya sekondari 4m IV mwaka 2012. kwabahati sikufanikiwa kuendelea na 4m V ,lakin MUNGU alisaidia nmepata chet cha DV 4 ya 30 science. Pia nmesoma computer course lkn mpaka sasa npo mtaan sina shuhuli ya kufanya na sina uwezo ata wakujiajili na ombeni msaada wenu. 0717 079 079 allyomary63@gmail.com
 
una d ngapi
 
kazi ya shamba utaweza?yaani uwe msimamizi?utakuwa mwaminifu?
 
dogo kwa nini usiende kuomba msaada kanisani?maana mimi kama ni msaada wa kukupa ni ushauri wa kurisiti mtihani,,bila ivyo utakuwa mtumwa tu katika dunia ya leo.
 
Ok! Unafikiria kufanya kitu gani ambacho fedha ndiyo inakukwamisha?
 
Kijana ebu nenda specific kwenye point unataka kazi au ushaur nn cha kufanya........!
 
Back
Top Bottom