Naitaji msaada wa kiufundi wa kamera

Naitaji msaada wa kiufundi wa kamera

yasini msangi

Member
Joined
Nov 13, 2013
Posts
16
Reaction score
5
ninakamera yangu inawaka ila haionyeshi kwenye screen ila inapiga kama kawaida , je itakuwa na tatizo gani na gharama za matengenezo ni bei gani?
 
Msangi ni Camera gani na pia je ni zile za kuweka Lens na kutoa au andika jina na namba ya Camera utaeleweka...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom