Wakuu poleni na majukum, naitaji hiyo komputer model kuanzia 2010 kushuka chini. Ambaye atakua nayo bac tuwasiliane kwa pm or kwa cm
no yangu ya cm ni 0769038065.
Natanguliza shukrani
Kama uko Dar anzia pale Shoppers Plaza ghorofa ya kwanza ndio wako bei poa. Wakifuatiwa na Apple Store kule Quality Plaza, The Apple Store ya Mlimani City na mwisho ni Elite Computers walioko JM Mall na pale Upanga next to Olympio.
Kama una mtu Arusha nenda pale jengo jipya la LAPF kuna Wakenya wanauza Brand New kwa 1.5