1, Nahitaji laptop ya aina ya TOSHIBA, DELL, AU HP
50GB, RAM1024, bluetooth, cam yenye uwezo mkubwa
kiufanisi na isiwe used, iwe brand ila kwa bei chee
yaani rahisi nitapataje wakuu?
2 Naitaji macintoshi laptop kama nayo naweza pata
iwe brand isiwe used jamani nisaidieni kwa kunPM
habari wakuu
1, Nahitaji laptop ya aina ya TOSHIBA, DELL, AU HP 50GB, RAM1024, bluetooth, cam yenye uwezo mkubwa
kiufanisi na isiwe used, iwe brand ila kwa bei chee
yaani rahisi nitapataje wakuu?
Nina wasiwasiwa vigezo hivyo utaishia kupata kimeo tu...
Ushauri wangu ni jaribu kuboresha hivyo vipengele nilivyoweka rangi nyekundu na zaidi usisahau aina ya Processor (ubongo wa dadavuzi)
Nina wasiwasiwa vigezo hivyo utaishia kupata kimeo tu...
Ushauri wangu ni jaribu kuboresha hivyo vipengele nilivyoweka rangi nyekundu na zaidi usisahau aina ya Processor (ubongo wa dadavuzi)
Kama huwezi ku-afford the likes of HP, Toshiba and Dell
How in hell can you afford iMac?