Hizo app zote ufanyaji kazi wake unategemea ikiwa hiyo namba uliisajili kwenye mtandao wowote mfano Google+ au Facebook n.k. hivyo ikiingia namba mpya yenyewe inakua inafanya survey online kuitafuta namba ikiipata ndiyo inaleta jina ikiikosa utaambiwa mtu ni unknown.