Nina bb 9630. Curve three dukani ni 630,000 mpaka 500,000 mm nauza 150,000 bila chaja na eadphone. Au kama unaweza nitafutie nokia e6 tubadilishane.naomba PM
Nina bb 9630. Curve three dukani ni 630,000 mpaka 500,000 mm nauza 150,000 bila chaja na eadphone. Au kama unaweza nitafutie nokia e6 tubadilishane.naomba PM
Zipo ila zinakuja kwa oda tu,mfano ukihitaji hiyo 5s mm nitakuambia ni bei gan mpaka ifike tanzania uki accept hyo bei ndiyo simu yako itayumwa kama hauta accept ntaendelea kukukaribisha www.hellenonliineshop.com