Naitaji hawk 777- dekoda fasta

Naitaji hawk 777- dekoda fasta

Hizo decoder mimi ninazo kama wahitaji utaweza kuni PM for my cell number ila bei yake ni laki tatu na nusu unakula vitu kama kawaida
mkuu hebu tufunguen macho sie wengine, huko unapata nn? kwa hiyo lak 3?
 
Hizo decoder mimi ninazo kama wahitaji utaweza kuni PM for my cell number ila bei yake ni laki tatu na nusu unakula vitu kama kawaida

Wewe umeweka na gharama za udalali? Wenzio wanasema only two hundred thousand.
 
Mkuu Paje bora umejitokeza maana nilitaka nimpe link ya ile thread yako. vipi ile usb adapter ulisema unaenda test...inapiga mzigo?
kuna mshkaji yupo zenji anazo decoder hizo 6. mwenye kuhitaji ani pm . anauza laki 2. mimi namfata kesho kutwa kwa ajili hiyo. hivyo zitabaki 5
 
Last edited by a moderator:
Wewe umeweka na gharama za udalali? Wenzio wanasema only two hundred thousand.

C weki udalali ww kama unaona ngumu kwako nenda kwa maltichoisi wakakugonge kwa laki130 kwa mwezi hiyo laki 350 ina kazi gani kwako au ushabiki tu unajua matumizi ya hii kitu ....................
 
Azsky G2 DVB-S unaziuzaje Kiongozi!????
[h=5]These are the facts you need to know about dongle:

(1) These boxes were designed by chincos for Africans to rightfully take back what theives are reaping from our land.
(2) They are micro decoders mpeg2 except microbox HD
(3) Their favourite sat is w3a on both polarity as the case maybe
(4) They open encrypted channels
(5) Some have validity periods while some dont
(6) They are not realiable
(7) They do freeze
(Cool They normally go on absent without leave
(9) They need periodic upgrading with software
(10) They can give you high blood pressure
(11) They can land you in trouble
(12) They save you 1560000 per year[/h]
 
Jaman wadau wa HAWK vp bado iko hewan inakula mzgo wa premium coz mie ilirud sa nmetumia wk na nusu sa imekata tena haipo hewan!..
 
Hizo decoder mimi ninazo kama wahitaji utaweza kuni PM for my cell number ila bei yake ni laki tatu na nusu unakula vitu kama kawaida

kaka zina zingua kufungua tatizo nini na suluhisho ni lipi?
 
Wadau zile scrambled channel nitazi unlock vipi kwenye HAWK EH 7777?!
 
ukiamua kupitia shortcut ya msituni basi jiandae kukanyaga miba :whistle:
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom