Naitaji hawk 777- dekoda fasta

Naitaji hawk 777- dekoda fasta

Parata

JF-Expert Member
Joined
Jul 26, 2011
Posts
3,090
Reaction score
692
Kichwa cha habari kinaeleweka ni pm kama unayo au unajua ilipo
 
Mkuu hizo decoder zipo town ila haziuzwi kiholela km unavyojua wewe its like u sell marijuana
 
Hizi ndo zile zinazochakachua DSTV kwa kutumia lain ya simu??
 
kuna mshkaji yupo zenji anazo decoder hizo 6. mwenye kuhitaji ani pm . anauza laki 2. mimi namfata kesho kutwa kwa ajili hiyo. hivyo zitabaki 5
 
ebwana ntazipateje mm nipo dsm au ntumie text then tumake biashara
 
jamani wenyeji wa kahama p'se nahitaji vyumba kwa ajiri ya mwezi march nahamia huko kikazi ,nijulishe
 
Dongle(Box) kwa ajili ya Kufungulia Channel yenyewe ni bei gani!? Au kwa hiyo laki2 unapata vyote!????????? Kama Ndio na Mimi nnahitaji pia. Ila inatakiwa Iwe full HD PVR. Ability to Record. 0715240140

Sent from my BlackBerry 9780 using JamiiForums
 
Hizo decoder mimi ninazo kama wahitaji utaweza kuni PM for my cell number ila bei yake ni laki tatu na nusu unakula vitu kama kawaida
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom