Mkubwa Premio New Model kwa 8M labda iwe ya kuchorwa.Iwe na usajiri wa C or D.
IWE katika khali nzuri.
AUTOMATIC
BEI ISIZIDI 8M.
naishi DSM/KAHAMA.
Mkuu ipo toyota BREVIS imetulia sanaa namba ni C iko katika hali nzuri na mashine imetulia kisawa sawa Bei ni M8.9, nicheki kwa 0713415537
Mkubwa Premio New Model kwa 8M labda iwe ya kuchorwa.
Sana. Kwanza na dola ilivyopanda bei, na TRA wameongeza kodi bila 14m hupati! Ila ni gari poa sana kwa mafuta. Corolla haioni ndani kwa fuel consumption.
Sana. Kwanza na dola ilivyopanda bei, na TRA wameongeza kodi bila 14m hupati! Ila ni gari poa sana kwa mafuta. Corolla haioni ndani kwa fuel consumption.
Nimeuza ya kwangu juzi ilikuwa natumia nusu tank kutoka moshi kwenda dar, yaani ni nzuri sana ila huwezi pata kwa 8m labda liwe gofu
hEE umeuza tena mkuu? gari tamu sana hii. Au umenunu kilimo kwanza?
Hapana mkuu sijanunua kilimo kwanza, nimeuza kwa kutokana na matumiz yangu gari ya chini nilikuwanaitesa sana...nimetafuta ya juu kidogo lakni nikija kutulia nitainunua tena tu, tena ile new model yake production ya kuanzia 2007-date