Mtanganyika
JF-Expert Member
- Jul 18, 2007
- 1,601
- 964
Magari yote hayo ninayo, bei ni m15 kila moja. Hutaki, agiza Japan mwenyewe
Magari yote hayo ninayo, bei ni m15 kila moja. Hutaki, agiza Japan mwenyewe
Hapo bado port charges, Clearing agent fee, na vimbwanga kibao + usumbufu wa TRA + registration + headaches . Kwa hiyo pesa yako nakupa Toyota vitz ya 2008.Huu ndio wazimu ninao ukataa CIF Dar es Salaam gari lolote kati ya hayo ni 3,500 USD, bandari hizo model zote ni below 2000 CC nalipa 2,500 hapo ni dolla 6000, nikupe Million 2 faida. Uza kwa Million 11 leo.
Hapo bado port charges, Clearing agent fee, na vimbwanga kibao + usumbufu wa TRA + registration + headaches . Kwa hiyo pesa yako nakupa Toyota vitz ya 2008.