Naitaji box ya kuflash simu

Naitaji box ya kuflash simu

buko

Member
Joined
Jan 1, 2012
Posts
52
Reaction score
16
kwa mwenye kujua ni wapi naweza nikapata kits/box naona wanaita ivo kwa ajiri ya kuflash simu msaada tafadhali
 
kwa mwenye kujua ni wapi naweza nikapata kits/box naona wanaita ivo kwa ajiri ya kuflash simu msaada tafadhali
Duhhh, we mkuu mi sijakupata kwa jinsi unavyouliza inaonyesha ni kama haujui hata ni jinsi gani ya kuflash na kama unajua sidhani kama ungeshindwa kujua wapi utapata
 
sijui ndoo maana nahitaji msaada wapi pa kupata
 
Ziko aina mingi sana hapa Kenya itategemea ni Simu za aina gani utataka kuflash...for more details nione kando
 
Kwani huko kando atakua anakuona Physical? Acha uchoyo wa knowledge wewe mbona akina Chief Mkwawa wanatiririka masomo tu hapa..... Au hujiamini unaogopa challenges unataka umpeleke kando ukamdanganye huko.
 
Mim ninalo la volcano mpya kabisa na cable zake luundo
nipo humu0715378899
 
Aisee namm nahitaji sana hizo Moshe HVO sh.ngap mfno nataka niflash simu za Nokia na smart phones?
 
Hayo mabox ya kuflashia sim yamejaa mengi mpaka vijijini alafu unataka kumletea kutoka Kenya?????
 
Kwani huko kando atakua anakuona Physical? Acha uchoyo wa knowledge wewe mbona akina Chief Mkwawa wanatiririka masomo tu hapa..... Au hujiamini unaogopa challenges unataka umpeleke kando ukamdanganye huko.

Am sorry naona Huo msemo una maana tofauti hapo Tz ...hapa Kenya nione kando yammanisha ni contact
 
Ninayo mabox kaka volcano nataka kilo 2.z3x ninalo la kilo 4. Na kilo 3..nicheki 0754604567
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom