Mwanasheka
Member
- Feb 26, 2013
- 16
- 4
Dada yangu kwanza nakupa pole kwa hali uliyopitia... tena nikupongeze kwa kuwa muwazi kuelezea hali yako ... mimi ni Mkristo na hivyo ntakupa kile nilicho nacho .... Nakuhakikishia nina suluhisho la tatizo lako ... unachotakiwa ni kufuata taratibu zifuatazo ...Habari zenu wanajamii wenzangu. Mimi ni mwanamke umri miaka 32. Mwenzenu ninasumbuliwa na tatizo la kutokuwa na FURAHA. Tatizo hili limeanza miaka mingi sana nadhani tangu nikiwa mdogo sikumbuki mara ya mwisho nimefurahi lini.Kilichonifanya niweke hapa na kuomba ushauri ni baada ya kugundua week iliyopita kuwa nina miaka mingi pia SIJACHEKA maana kuna mtu alinisimulia story tena ya kijinga jinga tu ila NILICHEKA SANA hadi nikasikia mapafu/moyoni kama kuna mzigo nimeupunguza hapo ndipo nikastuka kumbe nina siku nyingi sana sijacheka. Ina maana siku zote nilikuwa natoa Plastic Smile tu na si kuwa nilikuwa NAFURAHI toka MOYONI.
Ninaomba umnipe Ushauri mwenzenu nifanye nini ili niwe na furaha (Happy) pia nicheke kicheko cha Ukweli sio Plastic Smile.
Maisha yangu kwa kifupi yako hivi:
1) Mie sio mtu wa kutoka (Outing),Nililelewa na Mama wa Kambo na sikupata muda wa kucheza na wenzangu nilipokuwa mdogo except muda ule nilipokuwa shuleni tu,muda wote nilikuwa nasaidia kazi za nyumbani..so sikuwa na marafiki zaidi ya niliosoma nao darasa moja. Tangu nikiwa mdogo nimekuwa mwenyewe mwenyewe tu,siwezi kusocialize kabisa,starehe yangu ni kulala. Inaweza kuwa ni sababu pia lakini mbona ninaishi kwangu tangu 2006 lakini sina FURAHA/AMANI YA MOYO.
2) Nina ugonjwa unaonisumbua miaka mingi sana kama 20 yrs sasa niko kwenye tiba maendeleo ni mazuri tu .Ila nimehangaika sana hadi kufikia hapa.Je hili pia laweza kuwa ni chanzo cha kukosa Furaha na kama ni ndio chanzo mbona nimeana kupata nafuu ya ugonjwa lakini bado sina FURAHA/AMANI YA MOYO.
3) Sijaolewa
Nishaurini mwenzenu nifanye nini ili niweze kuwa na FURAHA au AMANI YA MOYO.
Oooh, pole sana dada, tataizo ulilonalo sio la kwako tu, watu wengi dunianani wana tatizo hilo. Mtu ambaye mi namwona ni tajiri duniani ni yule ambaye ana constant AMANI YA MOYO/FURAHA, hiki ni kitu adimu sana mtu kuwa nacho. Nakupongeza sana kwa kujitambua kwamba unahitaji hilo. Mimi sioni kwamba kutoka kwenda sehemu ambayoitakufanya uchangamke, au mtu kukuchekesha ndio utapata furaha, hapana. AMANI YA MOYO inaanza kwenye akili yako. Kwa mfano katika uzoefu wangu, nilianza kukuosa ANANI YA MOYO/ FURAHA nilipoanza masomo ya High School, hapo ndipo nikajigundua kuwa nipo tofauti na nilipokuwa O' level. Niligundua kwamba Msongo niliokuwa nao ulinipa woga wa maisha na pia ulinipotezea furaha yangu kabisa. Hali hii kwangu yalikuwa ni mateso makali sana. Sikutaka niendelee kuishi katika hali hii, nilitafuta suluhisho.Habari zenu wanajamii wenzangu. Mimi ni mwanamke umri miaka 32. Mwenzenu ninasumbuliwa na tatizo la kutokuwa na FURAHA. Tatizo hili limeanza miaka mingi sana nadhani tangu nikiwa mdogo sikumbuki mara ya mwisho nimefurahi lini.Kilichonifanya niweke hapa na kuomba ushauri ni baada ya kugundua week iliyopita kuwa nina miaka mingi pia SIJACHEKA maana kuna mtu alinisimulia story tena ya kijinga jinga tu ila NILICHEKA SANA hadi nikasikia mapafu/moyoni kama kuna mzigo nimeupunguza hapo ndipo nikastuka kumbe nina siku nyingi sana sijacheka. Ina maana siku zote nilikuwa natoa Plastic Smile tu na si kuwa nilikuwa NAFURAHI toka MOYONI.
Ninaomba umnipe Ushauri mwenzenu nifanye nini ili niwe na furaha (Happy) pia nicheke kicheko cha Ukweli sio Plastic Smile.
Maisha yangu kwa kifupi yako hivi:
1) Mie sio mtu wa kutoka (Outing),Nililelewa na Mama wa Kambo na sikupata muda wa kucheza na wenzangu nilipokuwa mdogo except muda ule nilipokuwa shuleni tu,muda wote nilikuwa nasaidia kazi za nyumbani..so sikuwa na marafiki zaidi ya niliosoma nao darasa moja. Tangu nikiwa mdogo nimekuwa mwenyewe mwenyewe tu,siwezi kusocialize kabisa,starehe yangu ni kulala. Inaweza kuwa ni sababu pia lakini mbona ninaishi kwangu tangu 2006 lakini sina FURAHA/AMANI YA MOYO.
2) Nina ugonjwa unaonisumbua miaka mingi sana kama 20 yrs sasa niko kwenye tiba maendeleo ni mazuri tu .Ila nimehangaika sana hadi kufikia hapa.Je hili pia laweza kuwa ni chanzo cha kukosa Furaha na kama ni ndio chanzo mbona nimeana kupata nafuu ya ugonjwa lakini bado sina FURAHA/AMANI YA MOYO.
3) Sijaolewa
Nishaurini mwenzenu nifanye nini ili niweze kuwa na FURAHA au AMANI YA MOYO.
Oooh, pole sana dada, tataizo ulilonalo sio la kwako tu, watu wengi dunianani wana tatizo hilo. Mtu ambaye mi namwona ni tajiri duniani ni yule ambaye ana constant AMANI YA MOYO/FURAHA, hiki ni kitu adimu sana mtu kuwa nacho. Nakupongeza sana kwa kujitambua kwamba unahitaji hilo. Mimi sioni kwamba kutoka kwenda sehemu ambayoitakufanya uchangamke, au mtu kukuchekesha ndio utapata furaha, hapana. AMANI YA MOYO inaanza kwenye akili yako. Kwa mfano katika uzoefu wangu, nilianza kukuosa ANANI YA MOYO/ FURAHA nilipoanza masomo ya High School, hapo ndipo nikajigundua kuwa nipo tofauti na nilipokuwa O' level. Niligundua kwamba Msongo niliokuwa nao ulinipa woga wa maisha na pia ulinipotezea furaha yangu kabisa. Hali hii kwangu yalikuwa ni mateso makali sana. Sikutaka niendelee kuishi katika hali hii, nilitafuta suluhisho.
Ninailewa vema hali uliyomo dada Mwanasheka ukijaribu kutafakari hayo niliyo kwambia yanaweza kuwa ni long term solution.
- Mimi ni mkristo ninamwamini Mungu, kitu cha kwanza kabisa niliomba kwa dhati, na nikaanza kupata ahueni.
- Kitu kingine pia nilijifunza kuwapenda watu, mtu yeyote yule haijalishi unamfahamu au humfahamu, hii itakupa kuwajengea imani watu wengine na kuwathamini, kitu ambacho kitakusaidia kukuondolea mashaka moyoni mwako ambayo kwa kweli ni chanzo moja wapo cha kuondoa furaha.
- Kuwa friendly na kujaribu kusamehe kila anayekukosea
- Kutoruhusu mtu aharibu hisia zako, ninamaana kwamba usiudhike pale mtu anapojaribu kuudhi kwa maksudi.
- Kuipenda familia yako kwa moyo wa dhati
- Kuamini kwamba yupo mtu anayekupenda hata kama wengine wakikuacha, kwa mfano mimi nikiwa katika diseparate situation, nakuona kwamba hakuna anayenijali, nijawa na faraja moyoni pale ninapo kuwa na imani kwamba, mama yangu ana nipenda sana, Mungu wangu pia ana nipenda sana.
- Kuwa na imani na matumaini kwa kila jambo unalolifanya.
- Kikubwa zaidi, kama unamwamini Mungu kweli, basi uwe mwaminifu kweli na fanya maombi peke yako, sio kumwambia mtu akufanyie maombi Mungu anamsikia kila mtu.
Habari zenu wanajamii wenzangu. Mimi ni mwanamke umri miaka 32. Mwenzenu ninasumbuliwa na tatizo la kutokuwa na FURAHA. Tatizo hili limeanza miaka mingi sana nadhani tangu nikiwa mdogo sikumbuki mara ya mwisho nimefurahi lini.Kilichonifanya niweke hapa na kuomba ushauri ni baada ya kugundua week iliyopita kuwa nina miaka mingi pia SIJACHEKA maana kuna mtu alinisimulia story tena ya kijinga jinga tu ila NILICHEKA SANA hadi nikasikia mapafu/moyoni kama kuna mzigo nimeupunguza hapo ndipo nikastuka kumbe nina siku nyingi sana sijacheka. Ina maana siku zote nilikuwa natoa Plastic Smile tu na si kuwa nilikuwa NAFURAHI toka MOYONI.