Naisikitikia CHADEMA!

Naisikitikia CHADEMA!

Maneno kama haya alishayasema Wassira aka Babu Jinga kuwa Chadema ingekufa kabla ya kuisha mwaka 2013. Leo hii tunakata thelusi moja ya mwaka 2014 na Chadema inasonga mbele huku sasa ushirikiano na CUF pamoja na NCCR ukiwa mbioni.
BMK wamewaacha waendelee wenyewe na mtu akiangalia Bunge hilo utadhani ni kikao cha wanandugu kujadili mirathi ya marehemu aliyekuwa kafa bila kuacha mali bali madeni.

Sent from my iPad using JamiiForums

Ukisema chadema inakufa mwaka kesho au kesho kutwa! utasubiri sana... lakini kama chadema ilikuwa inaenda speed 120km/h sasa hivi inaenda speed 60km/h na kwanza mlima ndo umeanza! sasa sijui watasawazisha huu mlima kwanza au watendelea kuupanda kwa speed 60km/h.
 
Mwenda pole hajikwai na akijikwaa haanguki mkuu. Hata kama gari yako ni nzima ukikuta kona kona lazima upunguze speed ili uende kwa uhakika.

Sent from my iPad using JamiiForums
 
Kabla ya kuwasikitikia CHADEMA wasikitikie watanzania masikini ambao hawana maji, dawa, na shule za kuzalisha sifuri. Lakini kwa upande wa CCM wamehakikisha kwenye kampeni zao wameweka mabango yao ya gharama ya kampaini, na kugawa kofia na t shirt

Unaposoma usimeze! elewa... kusema nasikitikia chadema! ni kutokana na kwamba huu upinzani chadema ilionao unawapa viongozi waliomadarakani changamoto! ambazo kwa sisi wananchi una faida.. katika kuyapa kipao mbele maslahi yetu.

sasa huu upinzani ukiwa dhaifu, shida ipo kwetu sisi wananchi kwasababu viongozi wa kitanzania hawaendi bila kusukumwasukumwa!
 
Naamini serikali ya ccm haiendi na haitaangalia maslahi ya wananchi bila ya kusukumwa sukumwa na vyama vya upinzani, hususan chadema.. lakini pia naamini hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuichukua nchi hii ya Tanzania kwa sasa.. hivyo basi waendelee kupiga kampeni ili wapate wabunge wengi zaidi na kuipa challenge serikali kwa maslahi ya wananchi!

Naisikitikia chadema kwasababu wanapoteza focus yao ya uchaguzi wa 2015, na kufanya mambo mengine yanayopunguza umaarufu wao. Wanapoteza nguvu nyingi sana kutengeneza mambo wanayoyaharibu wao wenyewe ambapo nguvu hizi zingetumika kuweka uimara wao katika uchaguzi ujao.

Chadema ikishika nchi hakutakuwa na mabadiliko watanzania wanayoyategemea kwasababu chama hakibadilishi tabia ya mtu. Chadema na CCM ni watanzania wenye chimbuko moja! na wote si wazalendo kwasababu wanapigania maslahi yao binafsi. Hivyo CCM wabaki wakishika nchi na chadema kibaki chama kikuu pinzani na waache upuuzi wanaoufanya ili waweze kuongeza wabunge uchaguzi ujao na labda watakuwa tayari ili kushika nchi mwaka 2020.

Mwisho wa siku, tunaona tofauti ya wenye experience katika siasa na wale ambao wana muda mfupi katika siasa. "siasa haihitaji kukurupuka na kuendeshwa kwa hisia tu, unahitaji kutumia akili kufanya decisions"

Hayo maneno umeyatoa wap???
 
Chadema imeuliwa na Ben Saanane, Mohamedi Mtoi, Yericko Nyerere, Godbless J Lema Dr.W.Slaa na Mchumbake Josefina na bila kumsahau Mwenyekiti wao Mbowe.

Slaa amesikiliza sana Josefina na vibaraka wake, Serengeti boy, Ben Saanane. Mbowe nae hasikii haoni kwa Lema, Yericko mnafik muongo na mzandik wa kupiga chapuo na kupeleka uongo ili ainekane anajuwa.

Hao ndio kundi lilitia fitna wakfukuzwa vichwa humo ndani ya chadema, hivyo vuwachwa vilivyokuwa vikiiendesha chadema bila hao majuha wengine kuelewa vipoondshwa ndiyo chadema ikawa tamati yake.

Sasa hivi chadema ni kama kuku anaeishi bila kichwa:

[video=youtube_share;ATz3AdbjyRI]http://youtu.be/ATz3AdbjyRI[/video]
Jamani Jamani jamani!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Tuweni wakweli.
Mafanikio makubwa katika Chadema yamepatikana wakti wa uongozi wa nani???
Kuwa katika chama cha upinzani ni zaidi ya vita hasa hapa Tanzania.
Mmezungumza mengi lakini hakuna anayetaja uingiliaji wa vyombo vya dola.
Kumbukenu mfululizo wa kesi za ugaidi.
Kumbukeni Ludovick alivypenetrate system nzima ya CDM
Angalieani matamko na misimamo tofauti ya ZZK
Uhuru wa kufanya mikutano
Bomu kwenye mkutano na mpaka leo hakuna jibu
Hujuma dhidi ya CDM si dogo kama tunavyoona na kwa system hii hakuna chama cha upinzani kitakachodumu ila baada ya kupigana virungu na risasi watawala watakaa sawa ku accept oppostion kama ni njia halali ya kuleta maendeleo!!
 
Naamini serikali ya ccm haiendi na haitaangalia maslahi ya wananchi bila ya kusukumwa sukumwa na vyama vya upinzani, hususan chadema.. lakini pia naamini hakuna chama cha upinzani chenye uwezo wa kuichukua nchi hii ya Tanzania kwa sasa.. hivyo basi waendelee kupiga kampeni ili wapate wabunge wengi zaidi na kuipa challenge serikali kwa maslahi ya wananchi!

Naisikitikia chadema kwasababu wanapoteza focus yao ya uchaguzi wa 2015, na kufanya mambo mengine yanayopunguza umaarufu wao. Wanapoteza nguvu nyingi sana kutengeneza mambo wanayoyaharibu wao wenyewe ambapo nguvu hizi zingetumika kuweka uimara wao katika uchaguzi ujao.

Chadema ikishika nchi hakutakuwa na mabadiliko watanzania wanayoyategemea kwasababu chama hakibadilishi tabia ya mtu. Chadema na CCM ni watanzania wenye chimbuko moja! na wote si wazalendo kwasababu wanapigania maslahi yao binafsi. Hivyo CCM wabaki wakishika nchi na chadema kibaki chama kikuu pinzani na waache upuuzi wanaoufanya ili waweze kuongeza wabunge uchaguzi ujao na labda watakuwa tayari ili kushika nchi mwaka 2020.

Mwisho wa siku, tunaona tofauti ya wenye experience katika siasa na wale ambao wana muda mfupi katika siasa. "siasa haihitaji kukurupuka na kuendeshwa kwa hisia tu, unahitaji kutumia akili kufanya decisions"

Mawazo yako butu sana. Alafu sio kila story ya kijiweni unaleta hapa JF zingine achananazo hukohuko kijiweni.
Aliyeluambia ccm inaweza kuongoza nchi ni nani? Hivi kwa nini ccm munawza CHADEMA tu unazani CUF, NNCR na wengineo hawawezi kuchukua nchi. Acha kujidanganya mkuu hata hao ccm wanazima moto hawana lolote. Kuna vitu fulani huvijui kuhusu ccm siku ukijua nitakuvesha gwanda.
 
Nakubaliana na yote unayoseam lakini tukumbuke kuwa kuwa mbunge wa CDM si kwa ajili ya jimbo tu bali kwa nchi nzima.
Hebu tuangalie TL alivyotufungua macho,je ingekuwa amekaa kwao Iramba mambo yangekuwaje?
Suala la muhimu ni kuwa wananchi hawajawa tayari kwa mabadiliko na umasikini wao ndio mtaji wa wenye pesa.
kumbuka watu walioangua vilio kwa RA kuacha ubunge,poor Tanzanian!!!!
 
Mawazo yako butu sana. Alafu sio kila story ya kijiweni unaleta hapa JF zingine achananazo hukohuko kijiweni.
Aliyeluambia ccm inaweza kuongoza nchi ni nani? Hivi kwa nini ccm munawza CHADEMA tu unazani CUF, NNCR na wengineo hawawezi kuchukua nchi. Acha kujidanganya mkuu hata hao ccm wanazima moto hawana lolote. Kuna vitu fulani huvijui kuhusu ccm siku ukijua nitakuvesha gwanda.

Hahahaaaa.. embu muangalie huyu anayesema mawazo ya kijiweni! umeongea nini hapo? "wanazima moto, kuna vitu huvijui, mnawaza chadema tuu, ntakuvesha gwanda!!!" hayo ndo maneno ya kijiweni.. mkuu! na kila kitu sio lazima uambiwe! mawazo ya kuambiwa changanya na ya kwako....!
 
Back
Top Bottom