"naisifu serikali........,"

Mwadilifu

Member
Feb 13, 2011
74
20
Nasikiliza BBC,ISHU YA SAMAKI WA NYUKLIA,Inashangaza sana kumsikia mtu anasema "naipongeza sana serikali"(kwa kuwakamata samaki mitaani)?!,walikuwa wapi walipokuwa wakiingizwa? tutasifia ujinga hadi lini, why dont we be realistic?haya ndo mapungufu waliyonayo washauri wa J.K wanamsifia kila kitu,inakuwaje vitu vinaingia nchin kiholela namna hii,while those authorities are there?,what are they doing?najua wenye hisa serikalin lazma muwe against,kusema tunatupia lawama serikali kwa kila kitu,haya basi acha leo niipongeze kwa hili,GUD JOB,you are not responsible,bt you've 2 knw govt is not a privet organizatn, neva think u've it!
 
Back
Top Bottom