MTZ 255Dar
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 1,114
- 3,769
Ongeza na Teargas nyang’au mbishi.
Bei ya chakula kupanda sana tz ndiyo kume sababisha pia kushuka thamani pesa yao maana 70 % ya chakula wananunua tzTrend ya Ksh. dhidi ya Dollar na Tsh. Naona inatetereka sana miaka hii ya Rais Samia
Tunamtegemea kwa lipi?, bado una mawazo ya zamani Sana kaka, hatununui chochote Cha maana toka Kenya zaidi ya Big G, Colgate na TanbondIla pia sio dalili nzuri kwa east Africa maan huyo ndio giant na tunamtegemea kwa vingi..
Mm nadhani ni impact ya corona pia.
Piga 1 Kes to Yen uone, nadhan ipo kwenye 1.03 hvWanauchumi naomba mnijuze ni kitu gani kinasababisha Shilingi ya Kenya kuzidi kuporomoka dhidi ya Dollar ya Marekani pia dhidi ya Shilingi ya Tanzania (Tsh). Mwaka 2020 1Ksh = 22.5Tsh. Hivi sasa 1Ksh = 17.9997Tsh. Angalia Graph hapo chini. View attachment 2555453View attachment 2555454
Hujui kabisa unachoongelea,Bei ya chakula kupanda sana tz ndiyo kume sababisha pia kushuka thamani pesa yao maana 70 % ya chakula wananunua tz
Nani ni Giant?Ila pia sio dalili nzuri kwa east Africa maan huyo ndio giant na tunamtegemea kwa vingi..
Mm nadhani ni impact ya corona pia.
Kenya kuyumba hakuwezi kuyumbisha Tanzania hata kidogo.Kenya ndio kitovu Cha East Africa hvyo akiyumba yeye kila kitu kinayumba.
Sababu kubwa ya Kenya pesa yao kuyumba n kwamba wananunua Sana na wananunua kwa volume kubwa na Kasi kubwa hvyo wanahitaji dola nyingi mkononi kwa dola nasasa dola haitulii inazidi kushuka ndipo hapo ksh inashindwa kuvumilia mapigo.
Tanzania tunatumia dola kuagiza vitu nje Ila volume yetu n ndogo compare na Kenya ikimaanisha sisi hatununui sana kwadola ndiomana viwanda n vichache hata representative office za makampun Tanzania n chache.
Hali Kama hii angekuwepo mwamba himself, one-man show, JPM mnyama mkali pesa ya Kenya dhid ya Tanzania ingekuwa 1-10 hata hk tunachokiona n effect zake JPM kipindi Cha korona na misimamo mbalimbali ya kibiashara baina ya Tanzania na mataifa mengine duniani.