Wazo nzuri hilo, bora tuwekeze kwenye reli za mjini kuliko hili la mabasi. Treni moja ya mjini ikibeba abiria 1,000 kwa mpigo, hiyo itapunguza pakubwa mzunguko wa magari mjini. Tayari tuna mabasi makubwa yamejaa mjini na imekua kero.
Niliangalia kiwango cha hela zilizotumika kujenga BRT ya Tanzania, nikaona palikua na uwezekano mkubwa wa kujenga reli badala ya kujaza mabasi mjini.
A good idea from the authorities. Many public spaces in Nairobi are poorly designed with the result that expansion is nearly impossible. The same pertains to many African cities, Cairo perhaps being the worst.
That being said, the other side of transportation planning must be addressed viz. land use patterns within the city. Ignore that and all the big roads and bridges and railways soon buckle under the inevitable rise in population over time. In fact, if i were a politician who truly and deeply loves his city, i would eschew popularity and bulldoze large parts of the city to create a new, more livable one. Just like Napoleon III did to Paris or Emperor Nero did to Rome. I believe its better that way because we are damned if we don't and damned if we do.
My 2 cents.
Kuna vitu vingi sana hauelewi lkn hauko peke yako sisi Waafrika wengi ni wagumu sana kuelewa hasa linapokuja swala linalohitaji critical thinking!
Sababu kubwa hasa ya TZ kuamua kujenga DART badala ya reli kuzunguka Mji mzima ni gharama! Haya mabasi yanachukuwa gharama ndogo kuanzia kuyanunua, kuyaendesha na kuyakarabati hata kujenga Miundo mbinu ni rahisi sana ukilinganisha na Reli!
Unafahamu tungehitaji Reli kiasi gani kutandaza Dar nzima ambako haya Mabasi yanapita? Hiyo reli TZ ingeitoa wapi? Kumbuka TZ hakuna Steel melting plant ina maana kila kitu tungeagiza unafahamu gharama yake?
Huu mradi haujabuniwa na TZ peke yake, bali Benki ya Dunia pia ilihusishwa hivyo ina maana upembuzi yakinifu ulifanywa na waliangalia hayo mambo yote, kwa hali ya kiuchumi tuliyonayo TZ kwa sasa hatuwezi kuendesha commuter rail system, kwa ufanisi haya mabasi ni bora sana na kama tukiyasimamia vizuri foleni kwa Mji wetu itakuwa imepungua kwa zaidi ya 50%!
Hata Nairobi mimi nimefika mara nyingi bado hawawawezi kujenga rail commuter system na kuhudumia sehemu kubwa ya wakazi wa Nairobi, hayo ni maneno tu na hata kama wakijenga bado hawataweza kuisambaza Nairobi nzima na kutumika wa wakazi wa Nairobi wengi kama vile DART yetu ilivyo!
Ikuingie hata sisi hao Banki ya dunia walihusishwa kwenye kupanga hili la BRT Nairobi, lakini tumeghairi baada ya kupiga mahesabu ya mbali. Shirikisha ubongo kiasi na nje ya hapo ulipo.
Kuna mtaalam wa Tanzania niliona sehemu, sikumbuki jarida lenyewe, aliyekokotoa gharama ya treni ya mjini ukilinganisha na mabasi ya BRT, na ikaingia kwamba ingekua nafuu na kwa manufaa makubwa kujenga treni. Nitalitafuta hilo jarida na kulibandika humu.
How long is DART?Kuna vitu vingi sana hauelewi lkn hauko peke yako sisi Waafrika wengi ni wagumu sana kuelewa hasa linapokuja swala linalohitaji critical thinking!
Sababu kubwa hasa ya TZ kuamua kujenga DART badala ya reli kuzunguka Mji mzima ni gharama! Haya mabasi yanachukuwa gharama ndogo kuanzia kuyanunua, kuyaendesha na kuyakarabati hata kujenga Miundo mbinu ni rahisi sana ukilinganisha na Reli!
Unafahamu tungehitaji Reli kiasi gani kutandaza Dar nzima ambako haya Mabasi yanapita? Hiyo reli TZ ingeitoa wapi? Kumbuka TZ hakuna Steel melting plant ina maana kila kitu tungeagiza unafahamu gharama yake?
Huu mradi haujabuniwa na TZ peke yake, bali Benki ya Dunia pia ilihusishwa hivyo ina maana upembuzi yakinifu ulifanywa na waliangalia hayo mambo yote, kwa hali ya kiuchumi tuliyonayo TZ kwa sasa hatuwezi kuendesha commuter rail system, kwa ufanisi haya mabasi ni bora sana na kama tukiyasimamia vizuri foleni kwa Mji wetu itakuwa imepungua kwa zaidi ya 50%!
Hata Nairobi mimi nimefika mara nyingi tu, bado hawawawezi kujenga rail commuter system na kuhudumia sehemu kubwa ya wakazi wa Nairobi, hayo ni maneno tu na hata kama wakijenga bado hawataweza kuisambaza Nairobi nzima na kutumika wa wakazi wa Nairobi wengi kama vile DART yetu ilivyo, tuko hapa tuombee uzima tu na muda utaongea...
How long is DART?
It's currently only 21 km and you claim it serves the whole of Dar. How is that possible?Inajengwa kwa awamu (phases) na ziko awamu 6 sasa hivi tuko awamu ya kwanza ( phase 1), na nyingine zinafwatia kama ramani inavyoonyesha hapa chini!
It's currently only 21 km and you claim it serves the whole of Dar. How is that possible?
Definetly good idea.Wazo nzuri hilo, bora tuwekeze kwenye reli za mjini kuliko hili la mabasi. Treni moja ya mjini ikibeba abiria 1,000 kwa mpigo, hiyo itapunguza pakubwa mzunguko wa magari mjini. Tayari tuna mabasi makubwa yamejaa mjini na imekua kero.
Niliangalia kiwango cha hela zilizotumika kujenga BRT ya Tanzania, nikaona palikua na uwezekano mkubwa wa kujenga reli badala ya kujaza mabasi mjini.
Sorry,I had not understood what you had said. I thought you were talking about now,kumbe ni in the future.Ni wapi na lini nimesema inahudumia Dar nzima?
Wazo nzuri hilo, bora tuwekeze kwenye reli za mjini kuliko hili la mabasi. Treni moja ya mjini ikibeba abiria 1,000 kwa mpigo, hiyo itapunguza pakubwa mzunguko wa magari mjini. Tayari tuna mabasi makubwa yamejaa mjini na imekua kero.
Niliangalia kiwango cha hela zilizotumika kujenga BRT ya Tanzania, nikaona palikua na uwezekano mkubwa wa kujenga reli badala ya kujaza mabasi mjini.
Wazo nzuri hilo, bora tuwekeze kwenye reli za mjini kuliko hili la mabasi. Treni moja ya mjini ikibeba abiria 1,000 kwa mpigo, hiyo itapunguza pakubwa mzunguko wa magari mjini. Tayari tuna mabasi makubwa yamejaa mjini na imekua kero.
Niliangalia kiwango cha hela zilizotumika kujenga BRT ya Tanzania, nikaona palikua na uwezekano mkubwa wa kujenga reli badala ya kujaza mabasi mjini.
Nimeipenda hii kama kweli ipo kwa awamu (phases) lakini nina swali hivi kulikuwa na haja gani ya Bagamoyo rd na Kilwa rd kuzijenga ktk kiwango kile ( njia 2/4) wakati kuna mipango mikubwa inakuja huu si upotevu wa pesa ?????? ( maana zile zilizokwishajengwa zitafumuliwa)Inajengwa kwa awamu (phases) na ziko awamu 6 sasa hivi tuko awamu ya kwanza ( phase 1), na nyingine zinafwatia kama ramani inavyoonyesha hapa chini!
We kiumbe unapenda sana kujenga hoja za kitoto ili tu kuleta ubishani usio na mantiki yoyote.Ikuingie hata sisi hao Banki ya dunia walihusishwa kwenye kupanga hili la BRT Nairobi, lakini tumeghairi baada ya kupiga mahesabu ya mbali. Shirikisha ubongo kiasi na nje ya hapo ulipo.
Kuna mtaalam wa Tanzania niliona sehemu, sikumbuki jarida lenyewe, aliyekokotoa gharama ya treni ya mjini ukilinganisha na mabasi ya BRT, na ikaingia kwamba ingekua nafuu na kwa manufaa makubwa kujenga treni. Nitalitafuta hilo jarida na kulibandika humu.
Hongera kwenu maana mnapiga hatua mos mos mtatupita tukicheka ovyo eti mko nyuma.hapa nai jam kero sana.huku mara uk katuahidi commuter rail mara kidero mabasi sijui niyapi humu.ni kuwapa macho tukingoja tuone.Inajengwa kwa awamu (phases) na ziko awamu 6 sasa hivi tuko awamu ya kwanza ( phase 1), na nyingine zinafwatia kama ramani inavyoonyesha hapa chini!