Nairobi has slums - Dar is a Slum

vulcan

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,742
2,459
In Kenya this kind of estate would be classified as a slum, in Dar its considered a fully planned estate ...
1571357950954.png
 
Kuna ghorofa tatu wao hupenda kuonyesha, hupizipiga picha kwenye pembe/angle tofauti, zaidi ya hapo Dar inakua imeisha hamna kingine cha kuonyesha zaidi ya uswazi. Hawana CBDA iliyosimama yenyewe.
 
Nyani analazimisha Dar iwe kama kibera,dandora,fuata nyayo,mukuru kwa njega,mukuru kayaba,mathare,kariobange..those are world class slums!
 
TEMBEA TANZANIA NZIMA HUKUTI FULL SUIT ZA MABATI NEVER!!

NAIROBI SASA HAHAHHAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
Umetembea Nairobi? Unplanned settlements(pamoja na slums) ni chini ya 2% ya ardhi ya Nairobi. Upande wa pili Dar 95% ni uplanned, yaani nyumba za ovyo zimejengwa bila mpangilio wowote. Nyumba ndio usiseme, ukifika uwanja wa fisi, tandale ni mwendo wa 2 piece kuta za udongo na 1 piece kofia ya mabati chakavu.
 
Tangu mseme daraja la kigamboni lipo kenya, mkadai Samata ni mkenya.... WAKENYA NI MATAPELI NA WEZI SUGU SANA,/...
 
Back
Top Bottom