Movie ile ili'reflect realy life yetu yaKiafrika kiasi kwamba nikasema ingekuaje Poa km kina Seba wangekua na some ideas kwa Movie kama hizo.Nakubaliana na wewe buda.
Jamaa walijitahidi saana kuicheza hiyo movie.
Na ilichaguliwa kwa entry za Oscar award kwa category ya foreign language.Nairobi Half Life imetulia sana. Inaonesha uhalisia wa hali ya maisha ya vijana wengi na namna ambavyo wanajitahidi kusaka kipato bila kusahau tabia ya polisi kuua watuhumiwa kama cover up ya kutowajibika ipasavyo.
Saana ni Ubunifu aseeh.. wa kwetu wamechezeana chumbani na kutishiana kupigana makofi basiMovie ile ili'reflect realy life yetu yaKiafrika kiasi kwamba nikasema ingekuaje Poa km kina Seba wangekua na some ideas kwa Movie kama hizo.
au itokee hawa Bongo Movie wetu wa'act Movie yaKisiasa ambayo ina refltect maisha halisi like a Hotel Rwanda unainaje hio.!!.[emoji23] [emoji23] [emoji23] ninge waona wako Serious na ningewapa pongezi kama hizi.
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
sijui wanaandikiana script?? hakuna ubunifu hata Chembe..unajua sio kila anae copy/paste ni hajui lah hasha..ni kwamba mtu okoteza basi hata Vipoints angalau ili ktk yakwako umzidi kidogo yule alobuni like a Chinese wanavyo fanya...Lakini sisi Waapi bwana.Saana ni Ubunifu aseeh.. wa kwetu wamechezeana chumbani na kutishiana kupigana makofi basi
B]Swadaktah"..Nairobi Half Life imetulia sana. Inaonesha uhalisia wa hali ya maisha ya vijana wengi na namna ambavyo wanajitahidi kusaka kipato bila kusahau tabia ya polisi kuua watuhumiwa kama cover up ya kutowajibika ipasavyo.
Tatizo lenu mmekuwa ni kizazi cha kutokusoma in details na ni rahisi kudanganywa.leo Kenya yaku'tushinda Sisi hata kwenye kuandaa Matangazo ya televisheni??? Mbullaa..sijui hii nchi ya namna gani bwana.
Sent from my SM-J120F using JamiiForums mobile app
sasa itabidi ili kutuisaidia sisi wapezi wa Muvi bora za Bongo itabidi tufnye casting ya featuring kwaWazungu.Tatizo lenu mmekuwa ni kizazi cha kutokusoma in details na ni rahisi kudanganywa.
aki vile unasifia wakenya utadhani wewe sio mtizedi...kwa nini unamind vyenye kenya wafanya??Nakubaliana na wewe buda.
Jamaa walijitahidi saana kuicheza hiyo movie. Kina Kigosi wasubiri kwa hiyo movie.
Kenyas endeleeni kutoa vitu kaa ivo mazee tutahamia kwenu.
Wa K ni boi wangu acha nibongee.aki vile unasifia wakenya utadhani wewe sio mtizedi...kwa nini unamind vyenye kenya wafanya??
ngoja niitafute niiwatch kwa computer yangu budaWa K ni boi wangu acha nibongee.
Mazee joo ile movie ilichezwa. Walijitahidi.