Naipenda Tanzania

Naipenda Tanzania

Joined
Mar 31, 2015
Posts
33
Reaction score
5
Jamani nami kama Mtanzania, nina haki ya kutoa maoni. Naipenda CCM ya Nyerere, sio hii inayotukuza ufisadi na uchafu.

Mimi kama mwanachama wa CCM, napata shida, rasimu ya katiba ya Chenge alie mchafu niipigie kura ya ndio kweli? Rasimu haijachafuliwa? Makada wenzangu ebu mnishawishi ili tusafiri kwa basi moja la kupigia kura ya ndio katiba pendekezwa.
 
Back
Top Bottom