Naipenda simu yangu ya windows

habari wakuu bado mbadala wa mtalk bado hauja patikana ?
 
habari wakuu bado mbadala wa mtalk bado hauja patikana ?
Hakuna, yaani nimeamua kununua NOKIA LUMIA 925 ili nijaribu Tapatalk lakini na yenyewe haipo store sasa hapa nafikiria kuINTELOP simu yangu ili niweze kuinstall application za ANDROID kwenye WINDOW PHONE
 
Kdg naomba unieleweshe mkuu kuna mtu anataka kunipatia Nokia lumia 1320 na ananambia haikubali gmail ni outlet nami phone book yng ipo kwa gmail account nikiidownload itakua fresh ama natumia njia gan nipate gmail na phone book yng?
 
Kama sijakosea hiyo option iko kwenye accounts una add gmail account though main account ni ya windows mkuu,inakubali kuadd gmail account na hata majina na picha italeta za gmail account huyo nahisi hafahamu
 
Daaah, nimeimiss nokia lumia 630 yangu, yaani nimeiweka ndani tu sababu ya ya flyt mood, na huku mikoani mafundi ni zero, nakumbuka ilikuwa inanipangia playlist ya nyimbo ninazopenda kuzisikiliza, pia kwa location mahali ninapokwenda ilikuwa inanionyesha vizuri tu,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…