Naipenda pia lakini mla jana kala nini? Tusijifariji na rekodi zilizopita, tujitathmini tumekosea wapi na tufanyeje kuweza kurudi kileleni na hata kuvunja record za nyuma
Simba imejaa wapigaji wa mijini, imejaa aina ya watu ambao kwenye siasa ndio wanaopiga madili makubwa kama vile ESCROW na EPA. Ni vigumu kupiga hatua kwa sababu kila mtu anataka awe na sauti ndani ya klabu.
Yanga wamempa uhuru Manji na anafanya kazi kisomi, haingilii majukumu asiyoyafahamu, kocha Hans Pluijm kapewa uhuru na anafanya kazi ya maana. Naona kama andiko hili ni la kujifariji pekee, halina changamoto kwa wanasimba.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.