Naipenda sana hii simu: Tecno Camon 16s

Ramon Abbas

JF-Expert Member
May 4, 2021
1,964
3,897
Kwanza kabisa nikiri hii ndio simu yangu ya kwanza yenye 4G internet yenye kasi sana.

Inakaa na chaji siku 2 with data on.

Inatoa picha nzuri sana usiku.

Ina camera 4.

features zake ndio hizi.

Screenshot_20210509-193223.png
 
Siku zote siko Judgmental but am gonna say this Mzee hatujari unatumia boring Tecno na ina 4G, come on kila mtu ana 4G na inaonekana ndio Mara yako ya kwanza kutumia simu ambayo ni cheap ila atleast iko okay. Unakuja kutangaza uku Bro we don’t give a f**ck watu wana Freaking Note 20 Ultra na hawasemi kaa kimya mzee
 
Siku zote siko Judgmental but am gonna say this Mzee hatujari unatumia freaking Tecno na ina 4G, come on kila mtu ana 4G na inaonekana ndio Mara yako ya kwanza kutumia simu ambayo ni cheap ila atleast iko okay. Unakuja kutangaza uku Bro we don’t give a f**ck watu wana Freaking Note 20 Ultra na hawasemi kaa kimya mzee
Unawashwa tu ndugu. Sijakutag popote, nashangaa imekuhusuje mpaka uanze kulialia hapa. Uwe na note 20 au 80 ni yako, hainihusu kivyovyote!!
 
Back
Top Bottom