Ulipanda ndege ya saa ngapi?
Yap Mkuu, Na Android Wangekua Na Security Kma Hii.... Ingekua Poa Ila Kuna Application Moja Kwa Android Nayo Inaweza Kumkata Mwizi.
Lakini kwa simu zilizokuwa rooted mkuu... Ni ikipata mtu mjanja... Akichange rom kwisha habari ako...[/QUOTED Duuhh Hilo Nalo Neno...Ila Hiyo Program Inakupa Data Pindi Alieiba Akiweka Line Kwenye Simu Ya Android Ilioibiwa.

That's how its work....
Bt unaweza kuitrack pia..
So vyote vinawezekana...
Yote tisa.... Kumi kiboko kwa wezi ni iphone mkuu.... Nafukiria kutafuta iPhone sasa....
Story ya jamaa imenifutia sana...
Airudishe Wapi Ndugu, Nimemfata Leo Dar, Nikiwa Pamoja Na Laptop, Icloud Ilikua Inanipa Raman Mahali Ilipo, Nilipofika Hapo, Kwenye Pc Kulikua Na Option Ya Kuifanya Iitee "PLAY SOUND" , Inshort Hapo Ndipo Nilipotumia Na Simu Ikaanza Kuita. Niliemkuta Nayo Ndie Huyo Huyo Niliempa Aisafirishe.
Yap Mkuu, Na Android Wangekua Na Security Kma Hii.... Ingekua Poa Ila Kuna Application Moja Kwa Android Nayo Inaweza Kumkata Mwizi.
Ni ipi hiyo mkuu hebu nijuze.
Jaribu bahati yako, search device manager android then ingia website ya android device manager. Login na acount yako ya google halafu itrack simu. Kama hajaiformat na hajaizima unaweza mpata
Na ile ya samsung ya find my mobile web ina msaada huo?
Ipoje hiyo bro?