Naionea huruma sana CHADEMA

Ni lini CHADEMA waliongoza nchi mpaka wakagawana vyeo kwa upendeleo?kama anavyofanya Magu ambaye kwenye utawala wake amejaza watu wa kanda ya ziwa na ameweka rekodi ya kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake.
Mmesahau kuwa hata kwa pwan wabunge wa viti maalumu ni wachaga hata mwenyekiti wahiyo kanda ni mchaga sumaye

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakalipe madeni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
hurma yako yako inatokana na kutokuelewa essense ya multparty democracy.wanaoelewa umesikia walichokiongea huko afrika kusini japo wanamagamba wenzio.
 
Imeikosti taifa kitu gani? Na majanga yapi yaliyotukuta? Hebu tuondolee akili zako za kuambiwa humu tunataka watu wenye kufikiri kwa kutumia akili zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Imeikosti taifa kitu gani? Na majanga yapi yaliyotukuta? Hebu tuondolee akili zako za kuambiwa humu tunataka watu wenye kufikiri kwa kutumia akili zao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok fine kwakuwa mimi nina akili za kuambiwa na walioniambia wako humu watakuja kukujibu. Ila endeleeni kujipa moyo. Time will tell na uje humu humu kuthibitisha akili zangu zakuambiwa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo CHADEMA unayoionea huruma ni ipi? Sisi tunaendelea na siasa tukiwa CHADEMA na hatujakoma. Mbona CDM huku kwetu ipo hai sana, au wewe watokea wapi bwana? Tunamsubiria huyo bwana wenu atakapotoa ruhusa tuwe kwenye majukwaa, ndipo utaiona nguvu ya umma. Time will tell

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…