Naionea huruma sana CHADEMA

Yaani akili ya Magu anaijua mwenyewe.

Sasa kaanza kumalizia hasira kwa kuchoma ofisi za watu maana kaambulia patupu kwa Wanaume wa Canada pia hawajaidhia hapo wakaamua kimkaba kwenye Bombardier a.k.a Pangaboi
 
Hao watu ni wabaguz sana hapa mwanza tuliwapokea vizur sana tukijua ni wenzetu kumbe ni fisi

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe acha upumbavu, unaposema uliwapokea chadema Mwanza unamaanisha nini? Mwanza ni kwanani na chadema wanatoka wapi? Huu ubaguzi wa CCM hautawaacha salama. Unataka kutuambia Mwanza ni kwa ccm? Chama cha kibaguzi mnataka kuleta ukabila na ukanda halafu mnasingizia kuwa chadema ni Chaka cha kaskazini. Akili nyembamba za ficiemu. Msijaribu kushindana na chadema. Ruhusuni mikutano ya hadhara muone nguvu ya chadema.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu na akili za panzi!! Cjui kaahidiwa uenezi kulee,duuu watz hata waone kwa macho hawaelewi,jamani misukuleee ni shidaaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Una shida ya uelewa: NARUDIA KAZI YA CHADEMA NI KUONDOA CCM NA UJINGA WAKE. km unaona mdogo ni wewe. Kma ndio unachokiri kuwa kazi ya CHADEMA imekwisha , utakuwa unakiri CCM imeshatoa ukidhani ni chadema.
Kweli mbowe kawashikia akili zenu yaan wewe rofa wa ufipan una ndoto za kuitoa ccm madarakan

Sent using Jamii Forums mobile app
 
ni ukweli kabisa mkuu huku mtaani watu wanaona mihemuko tuu ya chadema habari kamili ni magufuli wabadirishe ajenda hasa hawa wateule

bado tuko hai tatizo ajira
 
chama siyo MTU chama ni itikadi na sera., unawezaje onea huruma itikadi au Sera za chama. hebu rudini shule mkajifunze siasa
 
lakini mlivyo wabaguzi vyeo vyote mligawana
Ni lini CHADEMA waliongoza nchi mpaka wakagawana vyeo kwa upendeleo?kama anavyofanya Magu ambaye kwenye utawala wake amejaza watu wa kanda ya ziwa na ameweka rekodi ya kujenga uwanja wa ndege kijijini kwake.
 
Mleta uzi, "napenda nikuhakikishie, maana msema kweli ni mpenzi wa Mungu", leo hii mfn. waitishe uchaguzi, Chama Cha Makinikia kifanye kampeni "mwaka mzima " then UKAWA wafanye kampeni 2 months only, huku kukiwa na tume huru ya uchaguzi, "MTALIA SANA"! Kwanza ile ukitaja CCem kijiweni, unaweza pigwa maneno makali na matukano juuuuu!!! CCem ni maiti inayopuliziwa perfume kupitia maDC na maRC ili uvundo usitoke!! TAFAKARI KWA SAUTI & MAKINI!!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…