Naionea huruma sana CHADEMA

Wewe huna hoja zenye logic,unamuoneaje wenje huruma?Hivi hali yako ya kimaisha inafanana na Wenje?Pia kwanini uongelee mambo binafsi ya mtu? Sasa nakueleze hivi,anza sasa kuionea huruma familia yako na ukoo kwa ujumla maana elimu ni ya kukariri,uchumi pia hali ni tete.Kuhusu chadema:Kamwe mtu mwenye akili timamu hawezi ionea huruma chadema maana haitii huruma ktk mikakati yake.
 
Tatizo ni njaa na uvivu wako kufikiri.Ila TATIZO KUBWA ZAIDI NI KWAMBA CCM WANANUA UJINGA KM HUU KIRAHISI. CCM KILA KINACHOWASIFIA NA KUCHAFUA KIBOKO YAO HATA KIKIWA MAVI WANANUNUA.
Wananunuliwa au wanajitambua? Mlikuja kanda ya ziwa tukawapokea 2010 mkapata wabunge 4 mkoa wa shinyanga lakini mlivyo wabaguzi vyeo vyote mligawana mnavyojua. Safari hii hata mkoa wa Mara wameshtuka mtashangaa.Kina Heche bulaya na matiko wanajiandaa kusepa.
Kijiwe cha Lumumba ndio hawataki kuiona CHADEMA lakini wamechelewa,CHADEMA mwendo mdundo mpaka ikulu kuwatimua wavamizi.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na wewe nani anakuonea huruma kwa kuhifadhi uchafu kichwani badala ya akili[emoji3] [emoji3] [emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maisha ya wenje yanasikitisha sana sema tu hujui

Kuhusu maisha ya ukoo wangu yako poa sana mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hao watu ni wabaguz sana hapa mwanza tuliwapokea vizur sana tukijua ni wenzetu kumbe ni fisi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
chadema ni kweli inakufa ruhusuni mikutano ya hadhara maana ni kweli chadema hatuna hoja
ruhusuni na bunge live tuwaone wabunge makini kina msukuma wakiwatetea waganga wa kienyeji[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Samahani nataka kujua tu. Je, wewe uliyeandika huu uzi ni Mwanamke au mwanaume!? Kama wewe ni malikia wa nguvu hongera sana.!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kati ya cdm na ccm wapi kuna ujinga mwingi

Sent using Jamii Forums mobile app
Una shida ya uelewa: NARUDIA KAZI YA CHADEMA NI KUONDOA CCM NA UJINGA WAKE. km unaona mdogo ni wewe. Kma ndio unachokiri kuwa kazi ya CHADEMA imekwisha , utakuwa unakiri CCM imeshatoa ukidhani ni chadema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…