Naiona Tz 2030 hiyooo

Naiona Tz 2030 hiyooo

Black Sniper

JF-Expert Member
Joined
Dec 10, 2013
Posts
34,434
Reaction score
59,289
1449245180200.jpg 1449245214337.jpg
 
Nini, unafikiri ccm itaacha Pombe aandelee kuwabania mpunga, thubutu.
 
Pombe mwisho wake ni 2020 hawampitishi tena, labda akiwa mjanja abadilishe tume ya uchaguzi iwe tume huru la sivyo John hatarudi tena ikulu
 
Watamfanyaje? Tujuze Mkuu. Pasco note.

Wakuda wa ccm Wapo SA kupata somo toka ANC jinsi walivyomdondosha Mbeki kabla ya kipindi chake kuisha. Muulize Pombe mbona jalada la home shoping center anasua sua kulitolea maelekekezo.
 
Last edited by a moderator:
It is! ni kama ambavyo hakuetegemewa kuchaguliwa ndio hivyovivyo atachaguliwa tena!
 
Back
Top Bottom