Arsenal Gunner
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 10,891
- 17,693
Kunywa maji mengi, Pata na muda wa kupumzika. Utanishukuru baadaeNaomba sana kwa mungu hili timu lifungwe limekosa utu mashabiki zake wameuwawa kinyama hata kupost tu halijapost salamu za rambi rambi haya matimu simba na yanga Mimi nayachukia sana Kwa kuisaidia ccm kutawala nchi
Naunga MKONO hoja 🤕🤔😭Naomba sana kwa mungu hili timu lifungwe limekosa utu mashabiki zake wameuwawa kinyama hata kupost tu halijapost salamu za rambi rambi haya matimu simba na yanga Mimi nayachukia sana Kwa kuisaidia ccm kutawala nchi
Naungana na wewe Tena wafungwa kipigo Cha AIBUNaomba sana kwa mungu hili timu lifungwe limekosa utu mashabiki zake wameuwawa kinyama hata kupost tu halijapost salamu za rambi rambi haya matimu simba na yanga Mimi nayachukia sana Kwa kuisaidia ccm kutawala nchi
KabisaNaungana na wewe Tena wafungwa kipigo Cha AIBU
Matumizi mabaya ya maombi. Hakuna haja ya kuomba, litafungwa tu.Naomba sana kwa mungu hili timu lifungwe limekosa utu mashabiki zake wameuwawa kinyama hata kupost tu halijapost salamu za rambi rambi haya matimu simba na yanga Mimi nayachukia sana Kwa kuisaidia ccm kutawala nchi
Mkuu mungu wako kakusikiaNaomba sana kwa mungu hili timu lifungwe limekosa utu mashabiki zake wameuwawa kinyama hata kupost tu halijapost salamu za rambi rambi haya matimu simba na yanga Mimi nayachukia sana Kwa kuisaidia ccm kutawala nchi
Nimefurahi sanaJaribu kwa na huruma; utaua watu kwa presha
KabisaMkuu mungu wako kakusikia
Nimefurahi sanaKunywa maji mengi, Pata na muda wa kupumzika. Utanishukuru baadae