Nyani Ngwengwe
Senior Member
- Dec 13, 2017
- 115
- 177
"Mwene Bazi kabule mome".
Naandika mwehu mimi dhidi ya huyu mtarajiwa wa nyumba nyeupe tokea kisarawe,
Kati ya mwaka 2013-2014 kuna mzee alipigwa na wamang'ati huko Gwata/Mzenga akafa,kesi ile aliizima Mbunge msaka nyoka
Mwaka 2015 kuna wazaramo wawili waliuawa na wamang'ati huko Dololo kesi ikazimwa na msaka nyoka
Mwaka huu wameuwa wazaramo huko Mlegele na mfuru kama kawaida Kesi ikazimwa na msaka nyoka tena hii ilikuwa kubwa zaidi mpaka baadhi ya viongozi wa kijiji ambao hawakupendezwa na tabia za mbunge kuwalinda wageni wanao wanyanyasa wakajiuzuru uongozini,hata viongozi wa Ccm baadhi pale mfuru mkoleni walijiuzuru hii nayo ikazimwa na Msaka nyoka.
Ukaja uchaguzi wa Chama cha mapinduzi na jumuiya zake wilayani kisarawe, Mbunge wenu msaka nyoka ametumia fedha nyingi sana na mamlaka makubwa kuzima ndoto za vijana wazawa waliojitokeza kugombea nafasi za uongozi kisarawe Tena nimesikia sasa hivi vijana wa ccm kisarawe wanaongozwa na msambaa,yaani Mbunge mzaramo ana muamini msambaa kuliko wazaramo wenzakehii ni dharau kubwa kiasi gani?
Wazaramo mnauawa na wamang'ati,mnapigwa,kesi mbunge wenu anazizima juu kwa juu,kwa nini anafanya haya ?
Kwa sababu hao wageni pamoja na ujinga wenu ndiyo msingi wake kisiasa
Mbunge anazuia wazawa wasipate nafasi za uongozi ili wageni waendelee kumlinda na yeye awalinde.
Kijana msambaa toka Tanga leo ni mwenyekiti wa vijana kisarawe, huku akiwa na deni kuubwa la fedha za halmashauri zaidi ya laki 9+, Jafo hataki vijana wa kizaramo mfaidike na mikopo hiyo kwa kuwa mtafanikiwa na mtaacha kumuogopa hivyo ni bora wachukuwe wasambaa hiyo mikopo nyie mukalage vivo wayangu,
Njaa zenu watu wa kisarawe ndiyo msingi wa machungu yenu,kama ambavyo mnaona Tsh 5,000-10,000/= ni tamu ndivyo ambavyo mnajiuza kila miaka.
Mnauza utu kwa Elfu tano ambazo bado wanazikopa kwenye Mikopo ya Halmashauri ambayo mlitakiwa mkope nyie wanakopa wao halafu wanawapa nyie muwachague
Swali la muhimu sana kwanini. Mbunge tuliyemlea na kumkuza wenyewe leo amekuwa adui dhidi yetu Wanakisarawe?
Kama shida ni makundi ya kisiasa, je yeye ameshindwa kuyaunganisha na kumaliza tofauti dhidi yao?kama ameshindwa hilo je ni ipi logic ya yeye kuwa kiongozi wetu,na bado anataka kuwa kiongozi wa Taifa?
Leo tena amemleta mwandani wake (Mchaga) ambaye ni afisa kilimo Kata ya kisarawe awe na vyeo lukuki kwenye Ccm wilayani na mkoani ili 2025 ampambanie awe mbunge wa viti maalumu mkoa wa pwani.
Endeleeni kulala na kumsifu mbunge wenu mkiamini watu wote wanaompinga wanataka madaraka yake, mtakapojikuta hamna hata sehemu ya kuzikia baada ya kushika hatamu kwa wageni mtanikumbuka mwehu mie.
Ni mimi;
Mfuku Bin Nyuku (Mpuuzi)
"Mwene Bazi kabule mome".
hii ni dharau kubwa kiasi gani?Mi mwenyewe nimeshangaa... Nlidhani mamilion. Nimeangalia tena na tena na tena. Nakuta ni 900,000 plus. Nmechoka.Ila wazalamo ni shida.
Kijana msambaa toka Tanga leo ni mwenyekiti wa vijana kisarawe, huku akiwa na deni kuubwa la fedha za halmashauri zaidi ya laki 9+
Deni kubwa la laki tisa?Ahhhhh
Na tukiwatafuta tukawapata tutawagonga....Nyie wazaramo mnachoweza ni kucheza tu vigodoro, ngoma ya mdundiko, na kupiga mdomo! Uongozi na nyinyi, wapi na wapi bhana! Imagine mliwahi kumpa mpaka Kingwendu nafasi ya kugombea ubunge! Na nilisikia mlimchagua kwa kura nyingi eti! Ni basi tu wenye mamlaka waliamua kumnyima ushindi wake.
Hongera nyingi kwa huyo Kijana Msambaa kutoka Tanga kuwaongoza nyinyi Wazaramo. Na mimi Chifu wao wa Wasambaa najiandaa kuja kulichukua kabisa hilo Jimbo la Kisarawe 2025.
Mtajuta kuuza yale maeneo yenu kule Dar, na kuhamia huko Kisarawe. Hakika tutawafuata kokote mtakako kwenda
Mtani pole sana nilikwenda sehem moja panaitws kiparaka km sijakosea ni sehem safi sana kwa kilimo cha mihogo ..Sasa nyie mnashindwa kumuita mtoto mlie mlea wenyewe...mmeseme mpaka aacheNaandika mwehu mimi dhidi ya huyu mtarajiwa wa nyumba nyeupe tokea kisarawe,
Kati ya mwaka 2013-2014 kuna mzee alipigwa na wamang'ati huko Gwata/Mzenga akafa,kesi ile aliizima Mbunge msaka nyoka
Mwaka 2015 kuna wazaramo wawili waliuawa na wamang'ati huko Dololo kesi ikazimwa na msaka nyoka
Mwaka huu wameuwa wazaramo huko Mlegele na mfuru kama kawaida Kesi ikazimwa na msaka nyoka tena hii ilikuwa kubwa zaidi mpaka baadhi ya viongozi wa kijiji ambao hawakupendezwa na tabia za mbunge kuwalinda wageni wanao wanyanyasa wakajiuzuru uongozini,hata viongozi wa Ccm baadhi pale mfuru mkoleni walijiuzuru hii nayo ikazimwa na Msaka nyoka.
Ukaja uchaguzi wa Chama cha mapinduzi na jumuiya zake wilayani kisarawe, Mbunge wenu msaka nyoka ametumia fedha nyingi sana na mamlaka makubwa kuzima ndoto za vijana wazawa waliojitokeza kugombea nafasi za uongozi kisarawe Tena nimesikia sasa hivi vijana wa ccm kisarawe wanaongozwa na msambaa,yaani Mbunge mzaramo ana muamini msambaa kuliko wazaramo wenzakehii ni dharau kubwa kiasi gani?
Wazaramo mnauawa na wamang'ati,mnapigwa,kesi mbunge wenu anazizima juu kwa juu,kwa nini anafanya haya ?
Kwa sababu hao wageni pamoja na ujinga wenu ndiyo msingi wake kisiasa
Mbunge anazuia wazawa wasipate nafasi za uongozi ili wageni waendelee kumlinda na yeye awalinde.
Kijana msambaa toka Tanga leo ni mwenyekiti wa vijana kisarawe, huku akiwa na deni kuubwa la fedha za halmashauri zaidi ya laki 9+, Jafo hataki vijana wa kizaramo mfaidike na mikopo hiyo kwa kuwa mtafanikiwa na mtaacha kumuogopa hivyo ni bora wachukuwe wasambaa hiyo mikopo nyie mukalage vivo wayangu,
Njaa zenu watu wa kisarawe ndiyo msingi wa machungu yenu,kama ambavyo mnaona Tsh 5,000-10,000/= ni tamu ndivyo ambavyo mnajiuza kila miaka.
Mnauza utu kwa Elfu tano ambazo bado wanazikopa kwenye Mikopo ya Halmashauri ambayo mlitakiwa mkope nyie wanakopa wao halafu wanawapa nyie muwachague
Swali la muhimu sana kwanini. Mbunge tuliyemlea na kumkuza wenyewe leo amekuwa adui dhidi yetu Wanakisarawe?
Kama shida ni makundi ya kisiasa, je yeye ameshindwa kuyaunganisha na kumaliza tofauti dhidi yao?kama ameshindwa hilo je ni ipi logic ya yeye kuwa kiongozi wetu,na bado anataka kuwa kiongozi wa Taifa?
Leo tena amemleta mwandani wake (Mchaga) ambaye ni afisa kilimo Kata ya kisarawe awe na vyeo lukuki kwenye Ccm wilayani na mkoani ili 2025 ampambanie awe mbunge wa viti maalumu mkoa wa pwani.
Endeleeni kulala na kumsifu mbunge wenu mkiamini watu wote wanaompinga wanataka madaraka yake, mtakapojikuta hamna hata sehemu ya kuzikia baada ya kushika hatamu kwa wageni mtanikumbuka mwehu mie.
Ni mimi;
Mfuku Bin Nyuku (Mpuuzi)
"Mwene Bazi kabule mome".

Sahih kbsaaa siyoni shida mzambaa kuwa mk wa uvcccm hata akiwa rais sinaga shida na wasambaaaNyie wazaramo mnachoweza ni kucheza tu vigodoro, ngoma ya mdundiko, na kupiga mdomo! Uongozi na nyinyi, wapi na wapi bhana! Imagine mliwahi kumpa mpaka Kingwendu nafasi ya kugombea ubunge! Na nilisikia mlimchagua kwa kura nyingi eti! Ni basi tu wenye mamlaka waliamua kumnyima ushindi wake.
Hongera nyingi kwa huyo Kijana Msambaa kutoka Tanga kuwaongoza nyinyi Wazaramo. Na mimi Chifu wao wa Wasambaa najiandaa kuja kulichukua kabisa hilo Jimbo la Kisarawe 2025.
Mtajuta kuuza yale maeneo yenu kule Dar, na kuhamia huko Kisarawe. Hakika tutawafuata kokote mtakako kwenda
2025 nendeni na King'wendulile ili awafikishe kwenye nchi iliyojaa asali ya nyigu na pizza.