utiyansanga
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 213
- 7
Nimesikitiswa sana na matokeo ya uchaguzi wa majimbo ya Iramba yaliyompa KIKWETE NA WABUNGE WAKE ASILIA ZAidi ya themanini.Ni wazi katika wilaya ambayo serikal imeisahau ni Iramba ,ACHILIA MBALI BARABARA ILIYOJENGWA AMBAYO NI YA KITAIFA,LAKINI HALI YA UCHUMI NI MBAYA,WATU WANAKESHA WAKITAFUTA MAJI YA KUOGA LAKIN BADO WANAIPA CCM ASILIAMIA 80!Kunahitajika utafti kujua chanzo cha hali hii,pengine hao asilimia 50 ambao hawakupiga kura ndio wapinzani wa serikali !sasa wanampinga nani kwa kutopiga kura ,AFADHALI WENZENU WANYATURU WANA WABUBGE WAFADHILIdewj na nyalandu, NYINYI JE! Vijana wa iramba amkeni,kuanzaia likizo ijayo nitajitolea kutoa elimu ya uraia na kujitambua haiwezekani tukwawa tunashangilia mapinduzi mikoa ya wenzetu ! mashirika ya hiari nendeni Iramba,Tundu lisu watani zako tunakuangusha!
Sawa Mayu ,NGOJA TUONE!Elfu 2005 ilikuwa haya haya.lAKINI MIMIMKINACHONISHANGAZA NI % WANAYOPATA CCM hivi ni kweli hakuna mawazo mbadala kiasi hicho,MAENEO UNAYOZUNGUMZIA YANAFANANA NA IRAMBA ,PWANI,TABORA ,DODOMA,SONGEA NK .usihusishe rungweau kyela kule wana chagua watu!Nipe CV YA MBUNGE MTEULE WA IRAMBA MASHARIKI NIANZE KUWA NA MATUMAINI KAMA WEWE!
mbwanewe utiyansanga,
si alikuweppo leornard shango akiwa chadema wakati upinzanii ulipoanza? Leo hii nasikia ukifika kiomboi, ulemo hata huku nkungi na iambi ukisema "upinzani mpo" wanakushangaa, kila mtu kavalia jezi za yanga.
Nimeyaona mwenyewe mwaka jana, kila kona ni picha za mkapa, kikwete, mwini na nyerere. Itachukua muda sana kwa iramba kubadilika, muulize kitila mkumbo na chumvi mtembezi.
Nasongelyie
Huyu Lameck Mwigulu ni kijana wa UVCCM singida na ni mjumbe wa mkutano mkuu wa CCM taifa kupitia UVCCM mkoa wa Singida alipita mwaka 2008.tusiwaguse !hapana tunahitaji jamii yenye maendeleo ndugu yangu !AVANTU nimekusoma samahani nilihitaji zaid kumjua MWIGULU,huyu mama alikuwa mshindi tangu 2005 tusubiri kazi yake
Utafiti wa nini...waliolala waongezee blanket ya pili usingizi ukolee fofofofo!
Huyo mama ni mzuri. Ametoka kwenye Ukuu wa Chuo cha Ualimu (I think Bustani). Nina anaweza kufanay vizuri kuliko Msindai kama hatazingwa na ....... Tundu Lisu ni mzuri lakini pia ni mbishi wa bila sababu. Kila kitu anakipeleka anavyotaka yeye. Anyway nasubiri utendaji wake, ila sio uropokaji wa kichochezi kama wa Marando.Marando utadhani si mwanasheria bwana!
Bila shaka unalegezwa nati wewe...
Naomba sasa tufunge mjadala huu ,majadiliano ya watu kumi na tano yanadhirisha kuwa Iramba inatatizo,tunahitaji kuikomboa bila kujali itikadi zetu.Tuendelee kupambana ! MWASONGELA SANA , KARIBUNI TUUNDE IRAMBA VISION.