8691jakigili
Senior Member
- Mar 30, 2012
- 178
- 67
Mimi Chadema nawapenda sana sababu wataendelea kuwa wapinzani maisha na Dr Slaa ataendelea kuwa rais kivuli muda wote.
Kauli nyepesi na tata kama hizi ndizo zinazojengea baadhi ya wananchi wanaoshabikia vyma vya siasa tofauti. Kimsingi suala la kupenda au kuokipenda chama chochote cha siasa ni suala la mtu binafsi linalopaswa kudhihirishwa kwenye sanduku la kura tu. Kwa kuandika maneno haya hapa sijui mwandishi anakusudia hasa kupata nini.
Akili ni nywele kila mtu ana zake..Wewe naona zako ni nywele lakini Aina ya zile zinazoota kwapani/makalioni/na huku chiniChadema hakika sikipendi kutokana na
1. Kuweka mbele maslahi ya chama kuliko UTAIFA
2. Kupinga umoja wa vyama vya kisiasa kupitia TCD
3. Wabunge wake kutowawakilisha wananchi ipasavyo wawapo bungeni
4. Madiwani wake kutohamasisha wananchi kufanya shughuli za maendeleo
5. Kuratibu maandamano yanayohatarisha amani nchini
Tafadhalini wazalendo wa Tanzania wekeni sababu zingine za kuichukia CHADEMA_____________
Chadema hakika sikipendi kutokana na

Kutoa picha halisi ya CHADEMA, chama kisichokuwa na malengo ya kuendeleza nchi; wamekalia kuchochea vurugu nchini, wewe mwenyewe umethibitisha jana KIKAO CHA KAMATI KUU KINAKUJA NA MAAZIMIO YA KUANZIASHWA CHOMBO CHA ULINZI; wafikiri POLISI watafanya nini kama siyo migongano baina ya RED BRIGADE na POLISI
Kwa nini uipende CDM wakati mfumo uliopo unakunufaisha wa viongozi waliolikizo muda wote wawapo madarakani, isipokuwa siku Obama anapoingia na kukaa kwa muda wa siku mbili hurejea kazini. Mji wa Dar. unatakata siku mbili kwa sababu ya Obama na si kwa sababu ya mwananchi kama wewe!! Mambo yako mazuri kaka! Hutaki mabadiliko yoyote kwa sababu yatakuharibia mustakabali wa kutibiwa India, kusomesha watoto wako ng'ambo au shule bora nchini tofauti na "kata schools!" Mfumo uliopo hausikilizi tena masikini wanapotaka "India ndogo" ihamie hapa nchini; wanyama wasihamishwe kwenda Qatar; pesa zilizofichwa Uswisi zirejeshwe!