TANZIA Naibu Waziri, William Ole Nasha afariki dunia

Ukiwa mgonjwa basi kuwa makini sana na Covod 19. Chukua tahadhari zote muhimu.

Jamaa alikuwa na Ngwengwe. Afya yake ni dhoofu, naona wimbi la tatu limeamua tu kummalizia.

Poleni sana. Lakini pia, msisahau kutunza wazazi wenu. Wana baraka na laana ndani ya ndimi zao.

Mzungu wake sijui atabaki na nani
Watu wa marukanga covid haiwasumbui sana,ingekua hivyo wote wangepukutika...
 
wazazi wana Baraka na laana katika ndimi zao.

kuna kitu hapa

Rip Marehemu 😢
Ana mijengo mikubwa sana Kigamboni. Hela za kutosha, lakini mama yake anaishi maisha ya tabu.

Mama yake anaishi kwenye nyumba ya udongo, kunguni na chawa ni sehemu ya maisha yake.

Alishawahi kupelekwa Seliani kwa tatizo la Utapiamlo.

Maisha ya tabu. Huwezi kudhania ana mtoto naibu Waziri.

Ni aibu!.
 
Nakuapia, hata hajaangalia. Na hata kama ameangalia basi walipokuwa wanaoneshwa 'mabeberu' ye alikuwa anaangalia pembeni haraka ili asiwaone na hatimae ajipatie uhalali wa kusema alichosema. Ndo tulipofika hapo mkuu. Ukisikia anayekukimbiza anaanza kuporomosha matusi baxi we ongeza mwendo ujue tayari pumzi zinamuishia huyo.....mama aendelee kufanya yake kwa speed zaidi kwani haters wanakuwa mapunguani tu siku baada ya siku.
Roho mbaya iko ccm tena roho mbaya kuliko ya shetani,huruma yako peleka lumumba...ccm wauaji halafu unataka waonewe huruma ili iweje dawa ya moto ni moto
 
Kwanini kila kifo mtu anakurupuku na kusema hakuchanja huyo
Kama chanjo inazuia KIFO kwanini hamchanji sasa?

Na je kwanini iwe corona tu
Hata ukijikwaa tu unaweza kufa
Malaria watu wanakufa na ukimwi je
Vipi Cancer
 
Taarifa za hivi punde ni kuwa Naibu Waziri ofisi ya Waziri Mkuu Uwekezaji Mhe. William Ole Nasha amefariki dunia nyumbani kwake Jijini Dodoma.

Marehemu alikuwa Mbunge wa Ngorongoro na amekuwa Naibu Waziri mara 4 katika Wizara tofauti.

Amefariki majira ya saa 4 kasorobo usiku huu.

View attachment 1955155
Pumzika kwa amani mwana mwema wa mama Tanganyika. Umeondoka mapema sana! Vous allez nous manquer!
 
Ukiwa mgonjwa basi kuwa makini sana na Covod 19. Chukua tahadhari zote muhimu.

Jamaa alikuwa na Ngwengwe. Afya yake ni dhoofu, naona wimbi la tatu limeamua tu kummalizia.

Poleni sana. Lakini pia, msisahau kutunza wazazi wenu. Wana baraka na laana ndani ya ndimi zao.

Mzungu wake sijui atabaki na nani
akilinene
 
HAWEZI KUWA HUYU....

NARUDIA, HAWEZI KUWA HUYU HATA KIDOGO....

JUZI KUAMKIA HANA NIMEFUNULIWA KWA NJIA YA NDOTO KWAMBA TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI MZITO...

TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOFANYA TUPEWE SIKU KADHAA ZA MAOMBOLEZO...

TAIFA LIMEINGIA KWENYE SIMANZI ILIYOSABABISHA MABADILIKO MENGINE YA UONGOZI...

HALAFU MNIAMBIE ETI NI NAIBU WAZIRI?!

NO WAY... SOMETHING IS COMING, I DON'T GIVE A SHIT WHO OR WHEN BUT IT'S COMING!!

ALL IN ALL, REST IN PEACE WILLIAM OLE...

BWANA ALITOA, NA BWANA AMETWAA, JINA LAKE LIHIMIDIWE... AMEEN!!
"umeoteshwa" sio? nani atavuna sasa?
 
Aliumwa nini?
Aliugua kwa muda gani?
Alikua Mh mbunge wa kuchaguliwa ama wa kuteuliwa?
Ebu mwenye historia yake akuje hapa mbele kwanza.
R.i.P Naibu waziri
1.Aliugua ini na kisukari
2.Mbunge wa kuchaguliwa jumbo la NGORONGORO
3.Alikuwa mjumbe wa bunge la katiba kupitia asasi za kiraia.
4.2015 akagombea ubunge
2015 Magufuli akamteua kuwa Naibu waziri wa Uvuvi,badae Elimu
2020 Naibu waziri mambo ya nje
2021 Naibu waziri Ofisi ya waziri mkuu uwekezaji
Kitaaluma ni mwanasheria.
 
1.Aliugua ini na kisukari
2.Mbunge wa kuchaguliwa jumbo la NGORONGORO
3.Alikuwa mjumbe wa bunge la katiba kupitia asasi za kiraia.
4.2015 akagombea ubunge
2015 Magufuli akamteua kuwa Naibu waziri wa Uvuvi,badae Elimu
2020 Naibu waziri mambo ya nje
2021 Naibu waziri Ofisi ya waziri mkuu uwekezaji
Kitaaluma ni mwanasheria.
Kumbe amezitafunatafuna kodi zetu eeh.....!
 
Back
Top Bottom