Naibu waziri wa fedha

Jamaa anaipenda Tanzania kuliko Tanzania inavyompenda yeye teh teh thanks God sikuzaliwa na tabia za kupenda sifa kama huyu jamaa ila nadhani mazingira uliyokulia yanachangia kwenye tabia za ukubwani
 
Bora aendelee na kazi hiyo ya kuimba na taarabu ingawa ni wa bara maana elimu haijamsaidia kitu hajaelimika
 
HAWA ndio viongozi wetu wa taifa letu la Tanzania
 
Jamaa anaipenda Tanzania kuliko Tanzania inavyompenda yeye teh teh thanks God sikuzaliwa na tabia za kupenda sifa kama huyu jamaa ila nadhani mazingira uliyokulia yanachangia kwenye tabia za ukubwani
vp mkuu KABILA nalo halichangii tabia ?km kupenda sifa,nk
 
Jamani Watanzania hamtaki viongozi wetu wakawa wanaji-socialize? Acheni kulalama kila wakati
 
Aisee,halafu alitaka kuwa rais wa jamhuri yetu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…