Naibu Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mussa Azzan Zungu, ameviita vyama vya upinzani nchini Tanzania kushiriki katika Uchaguzi Mkuu wa baadaye mwaka huu, akieleza kuwa hata mabadiliko wanayoyataka na kuyahimiza ya kisheria na kimfumo yatapatikana ndani ya bunge hilo na siyo barabarani.
Naibu Spika amebainisha hayo jioni ya Aprili 30, 2025 wakati akiishukuru Wizara ya Katiba na Sheria kwa hotuba ya Bajeti waliyoiwasilisha mapema asubuhi pamoja na hitimisho la mjadala wa hotuba hiyo walioufanya, akieleza kuwa kwasasa Tume ya Uchaguzi ni bora zaidi kuliko ile ambayo ilifanikisha Bunge kuwa na wabunge wa Vyama pinzani takribani 112 kutoka vyama
Kama mmeanza hata kutaka muwaua viongozi wa dini kwa sababu tuwanataka mtende haki, itakuwaje kwa wagombea wa upinzani watakaposimama majukwaani kuyaanika maovu yenu?
kwa sasa, adui mkubwa wa watanzania ni CCM. CCM imekuwa ni hatari kwa kila jambo lililo jema.