BabaKasheshe
JF-Expert Member
- Nov 7, 2012
- 211
- 45
Ndugu wana JF binafsi yangu naona uwezo wa naibu spika ni mdogo kulinganisha na majukumu yake bungeni.
Achilia mbali kwa hili la leo , vikao vingi anavyoendesha hatoi maamuzi ya busara sana.
Huu ni mtazamo wangu, je wana JF nini maoni yenu ?