fall in love
New Member
- Jan 26, 2013
- 1
- 0
nimegundua mpenzi wangu anamahusiano na msichana mwingine, nilipomuuliza akadai ni kweli but wameshaachana kwa sasa, kumuuliz huyo msichana wake kaniambia bado wako wote na wanampango wa kutambulishana mwezi wa sita. cha kushangaa nikiongea na mchumba anaomba msaamaa na kudai alikosea na kupitiwa kutoka na huyo mdada but mimi ndo chaguo lake. nikimwabia kama ni kweli basi tukutane wote watatu na huyo dada ili aongea ili kupata uhakika zaidi na madai yake bt anakataa na kudai co picha nzuri na pia nicwaambie marafiki zangu kwanza... mimi simwamini tena naogopa kumsamehe coz atanihumiza zaidi... jamani bhandugu je uhamuzi niliochukua ni sahihi..?