a fikra_og
Member
- Jan 1, 2019
- 8
- 1
Hivi unatakiwa kufanyaje il kuweza kupata subsribe nyingi pamoja na view wengi YouTube
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
weka udaku, kina wema amisa , then lete mrejesho
Kumbe Tanzania hatuko DunianiDuniani: weka vitu unique.
Tanzania: weka umbea

Vyovyote ulivyoelewa ni sawa!..
Umetisha Bro kwa Tz umbea tu unawanasa WoteDuniani: weka vitu unique.
Tanzania: weka umbea








Ndo maan channel Yangu Niya kidunia zaidi Tanzania ni exception case.