Ni miaka 13 Sasa tangu aanzee kuvuta bangi,enzi hizo mimi mdogo sana nasoma shule ya msingi_
Tuliokuwa tunampa shkamoo,Leo hii ndo washkaji zake
Tunapotaka kusmoke,tu naenda kununua kwake
Wenzake wamesoma,wana majumba na magari/
Yeye yuko vile vile na kazi yake ya usadari.
Akikatwa ,ndugu ndo huja kumtoa,akishatoka,bangi kuuza ana endelea!!
Huyo sio fa wala Ay !!
Anaitwa juma mchopanga.
Nawajua wengi ,ila ninaowahusudu "sana" ni.
1.Fa_Gaucho wa bongo hip hop.
2.Fid q_zidane wa bongo hip hop.
3..Jaymoe_Figo wa Bongo hip hop.
4_Ay
5.Ally kiba.