Nawapenda CHADEMA, napenda kuwasikiliza, saa nyingine nahudhuria Mihadhara yao, lakini mimi binafsi nina tatizo moja, nahofia mabadiliko, nahofia nini kitakuja baada ya CCM kuondoka, pamoja na ukweli kwamba nimechoshwa na maovu ya CCM (viongozi) lakini angalau nawajua CCM na najua wana mipaka ya maovu yao, kuna baadhi ya vitu hawawezi kufanya, lakini Chama kipya kabisa nahofu sana kwa maana najua wataleta mabadiliko lakini sijui ni mabadiliko gani hayo, inawezekana Mungu saidia yakawa mazuri au pia inawezekana Mungu pisha mbali yakawa mabaya sana na tukashindwa kurudi tulipokuwa mwanzo kabla ya wapinzani kuingia, hiyo ndio Hofu yangu ingawaje napenda Maisha yetu yabadilike lakini pia nina kahofu kaliko jificha!
hofu na mashaka ni mizizi ya dhambi. Ishinde dhambi hiyo kwa kukubali mabadiliko.nawapenda chadema, napenda kuwasikiliza, saa nyingine nahudhuria mihadhara yao, lakini mimi binafsi nina tatizo moja, nahofia mabadiliko, nahofia nini kitakuja baada ya ccm kuondoka, pamoja na ukweli kwamba nimechoshwa na maovu ya ccm (viongozi) lakini angalau nawajua ccm na najua wana mipaka ya maovu yao, kuna baadhi ya vitu hawawezi kufanya, lakini chama kipya kabisa nahofu sana kwa maana najua wataleta mabadiliko lakini sijui ni mabadiliko gani hayo, inawezekana mungu saidia yakawa mazuri au pia inawezekana mungu pisha mbali yakawa mabaya sana na tukashindwa kurudi tulipokuwa mwanzo kabla ya wapinzani kuingia, hiyo ndio hofu yangu ingawaje napenda maisha yetu yabadilike lakini pia nina kahofu kaliko jificha!
Nawapenda CHADEMA, napenda kuwasikiliza, saa nyingine nahudhuria Mihadhara yao, lakini mimi binafsi nina tatizo moja, nahofia mabadiliko, nahofia nini kitakuja baada ya CCM kuondoka, pamoja na ukweli kwamba nimechoshwa na maovu ya CCM (viongozi) lakini angalau nawajua CCM na najua wana mipaka ya maovu yao, kuna baadhi ya vitu hawawezi kufanya, lakini Chama kipya kabisa nahofu sana kwa maana najua wataleta mabadiliko lakini sijui ni mabadiliko gani hayo, inawezekana Mungu saidia yakawa mazuri au pia inawezekana Mungu pisha mbali yakawa mabaya sana na tukashindwa kurudi tulipokuwa mwanzo kabla ya wapinzani kuingia, hiyo ndio Hofu yangu ingawaje napenda Maisha yetu yabadilike lakini pia nina kahofu kaliko jificha!
Kwa nini kuhofia kitu usichokijua iwe Dhambi? sijasema kwamba sikubali mabadiliko ila nimesema tu kwamba kuna kahofu kalikojificha ndani yangu ya kitu nisichokijua, hata Yesu alipokuja na akawa anatagaza neno la Mungu kuna watu wengi tu walimhofia sio kwa sababu alikuwa anahubiri upuuzi bali ni kwa sababu alikuwa anahusbiri vitu vipya na watu wengi walikuwa wanahofia hayo mabadiliko!hofu na mashaka ni mizizi ya dhambi. Ishinde dhambi hiyo kwa kukubali mabadiliko.
Mimi nafikiri wewe ni Bw.Tendwa (msajili wa vyama) hautumii jina lako kamili au mna-share same genetic code!
Tena Mungu anasema wanaositasita hapendezwi nao....Usipo mpendeza Mungu utampendeza shetani.