Sasa hata kama bei hujawa specifc na umempa uhuru muuzaj si bora ukanunue kipya tu kulingana na mfuko wako ? Sijajua kama ni mapenz, hulka, style au ugumu wa maisha bt kununua kitanda used from no where for me hapana jaman, bora iwe redio, tv or other hom appliance bt sio kitanda especially cha mtu nsomjua, bora nlalie godoro tupu nikiwa najichanga kununua kipya.
Ngoja wauzaj waje, kila la kher mkuu....