Jamani kwa yule anayefahamu sehemu ambayo naweza nikapata wino wa printer aina ya canon pixma ip1900 aniambie, ikiwezekana na bei nataka il nikienda mahal penyewe niwe nimeenda jumla ni kununua tu.