Ningetaka kujua wewe upo wapi Dar au mkoani?Hi JF members
Poleni na majukumu
Nimeona ni vema nikaanzisha hii ID mpya ili kusudi niwe natupia mambo nyeti ,muhimu na yenye tija kwetu sote najua sitawaridhisha wote kutokana na kila MTU kuwa na hulka yake ya vitu anavyovipenda na kuna wengine nitawaridhisha kwa kiasi chake na hatimae watakaokuwa tayari basi tutaungana!
By professional Mimi ni mwalimu !
Lakini ni mjasiriamali mdogo kiuchumi lakini mkubwa kifikra na mwenye ujuzi kadhaa nasema hivo kwa sababu miezi kadhaa nyuma nilikuwa ni mkufunzi wa masomo ya ujasiriamali katika vikundi mbalimbali huko mikoani na nilikuwa nikiyafundisha bure bila malipo japo nilikuwa na mradi wa kuuza vitabu vya ujasiriamali ambapo nilipata fursa kubwa ya kuuza vitabu hivyo kwa hao wanakikundi na hio ndo ilikuwa ridhiki yangu kwa wakati huo lakini nikaja kusimama kufanya shughuli hizo baada ya kuanzisha mradi mwingine ambao nao nilienda nao kwa kipindi Fulani na kuuacha na saivi nipo na huduma nyingine inayonipa kula kulipa pango na kutimiza mahitaji yangu
Back to the point!
Nina wazo kuu limenijia kichwani na nimelifikiria nikaona ni vema nikapata wenzangu wanne ambao wako serius na wako tayari kwa UDI na uvumba kuhakikisha kuwa kitu tutakachokianzisha hakiishii njiani yaani afe kipa ama beki ila mradi lazima usimame kwa vyovyote na kuhakikisha kuwa tutashikana mkono mpaka point ya mwisho!
Miradi niliyofikiria ni hii ifuatayo:
Mradi 1: UTENGENEZAJI WA CHAKI
Mradi 2:UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MCHE
MRADI 3: UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA MGANDO AMA LOTION N.K
MIRADI HII NI MIRADI AMBAYO INAWEZA KUTUFIKISHA PALE TUTAKAPOHITAJI TUFIKIE KIUCHUMI kikubwa ni kuwa serius na kazi na kizuri zaidi Nina IDEA YA ELIMU YA HIVO VITU ILA TUTAKAPO KUBALIANA BASI TUTAANZA NA MOJA NIKIWA NA MAANA YA KUTAFUTA UJUZI WA KUTOSHA,MALIGHAFI KWA GHARAMA NAFUU,SOKO NA VIBALI VYA UZALISHAJI PAMOJA NA MATANGAZO YA PRODUCT YAKO KAMA UNAJIONA UKO SERIUS NI PM AFU TUTAANZISHA GROUP LA WHATSAPP LA WATU WANNE AU WATANO TUTAKAOKUBALIANA NA KUJADILI KWA KINA ZAIDI
Narudia tena nataka watu serius tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutawasiliananimependa wazo lako,ila changamoto iliyopo nipo mkoani lakin pia tunaweza kufanya hiyo kazi;kama hutojali jaribu kufafanua ni kitu gani sisi washirika tuwe navyo
Watu serius ndio watu wa aina gani wewe mwalimu?Hi JF members
Poleni na majukumu
Nimeona ni vema nikaanzisha hii ID mpya ili kusudi niwe natupia mambo nyeti ,muhimu na yenye tija kwetu sote najua sitawaridhisha wote kutokana na kila MTU kuwa na hulka yake ya vitu anavyovipenda na kuna wengine nitawaridhisha kwa kiasi chake na hatimae watakaokuwa tayari basi tutaungana!
By professional Mimi ni mwalimu !
Lakini ni mjasiriamali mdogo kiuchumi lakini mkubwa kifikra na mwenye ujuzi kadhaa nasema hivo kwa sababu miezi kadhaa nyuma nilikuwa ni mkufunzi wa masomo ya ujasiriamali katika vikundi mbalimbali huko mikoani na nilikuwa nikiyafundisha bure bila malipo japo nilikuwa na mradi wa kuuza vitabu vya ujasiriamali ambapo nilipata fursa kubwa ya kuuza vitabu hivyo kwa hao wanakikundi na hio ndo ilikuwa ridhiki yangu kwa wakati huo lakini nikaja kusimama kufanya shughuli hizo baada ya kuanzisha mradi mwingine ambao nao nilienda nao kwa kipindi Fulani na kuuacha na saivi nipo na huduma nyingine inayonipa kula kulipa pango na kutimiza mahitaji yangu
Back to the point!
Nina wazo kuu limenijia kichwani na nimelifikiria nikaona ni vema nikapata wenzangu wanne ambao wako serius na wako tayari kwa UDI na uvumba kuhakikisha kuwa kitu tutakachokianzisha hakiishii njiani yaani afe kipa ama beki ila mradi lazima usimame kwa vyovyote na kuhakikisha kuwa tutashikana mkono mpaka point ya mwisho!
Miradi niliyofikiria ni hii ifuatayo:
Mradi 1: UTENGENEZAJI WA CHAKI
Mradi 2:UTENGENEZAJI WA SABUNI YA MCHE
MRADI 3: UTENGENEZAJI WA MAFUTA YA MGANDO AMA LOTION N.K
MIRADI HII NI MIRADI AMBAYO INAWEZA KUTUFIKISHA PALE TUTAKAPOHITAJI TUFIKIE KIUCHUMI kikubwa ni kuwa serius na kazi na kizuri zaidi Nina IDEA YA ELIMU YA HIVO VITU ILA TUTAKAPO KUBALIANA BASI TUTAANZA NA MOJA NIKIWA NA MAANA YA KUTAFUTA UJUZI WA KUTOSHA,MALIGHAFI KWA GHARAMA NAFUU,SOKO NA VIBALI VYA UZALISHAJI PAMOJA NA MATANGAZO YA PRODUCT YAKO KAMA UNAJIONA UKO SERIUS NI PM AFU TUTAANZISHA GROUP LA WHATSAPP LA WATU WANNE AU WATANO TUTAKAOKUBALIANA NA KUJADILI KWA KINA ZAIDI
Narudia tena nataka watu serius tu!
Sent using Jamii Forums mobile app
nin =(Kundule)Watu serius ndio watu wa aina gani wewe mwalimu?
Wewe ni mwalimu kweli?? serius ndio nin?
MNAKERA MNOOOOOOOO
Wewe ndio mpumbavu kweli, kwani kipi hujaelewa hapo. Kama huna cha kuchangia si ukakojoe ulaleWatu serius ndio watu wa aina gani wewe mwalimu?
Wewe ni mwalimu kweli?? serius ndio nin?
MNAKERA MNOOOOOOOO
Ww Jamaa hufai kuingia huku JF, hujui watu serious wakoje?Watu serius ndio watu wa aina gani wewe mwalimu?
Wewe ni mwalimu kweli?? serius ndio nin?
MNAKERA MNOOOOOOOO
Kwanza nikupongeze mkuu kwa kukaa chini kuweza kuandika hoja ambayo inaweza kutoa utata/fumbo kwa wengiNi wazo zuri sana! Wewe mwenye wazo ndo unajua kiundani hata kwa mchanganuo tu
Elezea kdg ilitujue hasa mlengwa ni mtu mwenye mtaji kiasi gani? Au ni mtu tu alie serious!
Ili tujipime......
1: Mchanganuo wa kiwango cha chini
2: kiwango cha kati
3: hata cha juu kdg!
Mi nafikiria ungeanzisha group LA whatsap ili ktk mawasiliano huko kila mtu atajipima.
Watano watapatikana na wengine ambao watabaki watapata nao wazo zuri zaidi!
Sent using Jamii Forums mobile app
Pia ameandika ridhiki badala ya rizikiWatu serius ndio watu wa aina gani wewe mwalimu?
Wewe ni mwalimu kweli?? serius ndio nin?
MNAKERA MNOOOOOOOO
Nimerekebisha mkuuPia ameandika ridhiki badala ya riziki
Elezea niweppMimi niko tofauti, wazo langu napendekeza ufugaji wa kuku broila
Tunakodi mabanda bunju( wazo) tunanunua vifaa vya chakula nk, tunakubaliana idadi ya vifaranga wa kuanza nao, 500-1000,Tunapiga budget ya chakula chao na dawa, tunafuga ndani ya wiki nne tunauza tunagawana faida, mtaji unarudi tena kwenye cycle.Elezea niwepp
Wazo zuri,tafuta soko kwanza tuingie nao mkataba wa ununuzi baada ya miezi sita kuanzia sasa,ili tuwezekuwekeza kwa juhudi zote.kuliko kufuga halafu tuanze kutafuta soko.Tunakodi mabanda bunju( wazo) tunanunua vifaa vya chakula nk, tunakubaliana idadi ya vifaranga wa kuanza nao, 500-1000,Tunapiga budget ya chakula chao na dawa, tunafuga ndani ya wiki nne tunauza tunagawana faida, mtaji unarudi tena kwenye cycle.