mnang'umba JF-Expert Member Joined Jun 26, 2015 Posts 471 Reaction score 150 Mar 10, 2018 #1 Habari wana jamii, Naomba anaewajua jamaa wanaohusika na kutunza wanyama. Wanakipindi Azam two kila Jumatano. Nipeni namba zao. Kuna Mbwa amegongwa na gari kavunjika miguu yote ya nyuma. Yupo Kongowe standy kupitia Mbagala. 0718116223
Habari wana jamii, Naomba anaewajua jamaa wanaohusika na kutunza wanyama. Wanakipindi Azam two kila Jumatano. Nipeni namba zao. Kuna Mbwa amegongwa na gari kavunjika miguu yote ya nyuma. Yupo Kongowe standy kupitia Mbagala. 0718116223
B bibinnaa JF-Expert Member Joined Jan 17, 2017 Posts 1,500 Reaction score 1,379 Mar 10, 2018 #2 Haraka mpeleke Vet Clinic yoyote iliyo karibu na hapo.Chukua tahadhari asikudhuru