Hongera sana kwa wazo lako jema, mimi ngekushauri uonane na Watu wa kampuni za soral wao wanatoa pump za mkopo kwa kianzio kidogo kulingana na aina na uwezo wa Pump na baada ya hapo utaanza kulipia kidogo kidogo kwa muda wa mwaka 1, pump ya nishati yajua itakufaa sana sababu itakuondolea ghalama za matumizi ya mafuta.
Ukiwa tayari nicheki kwenye Namba 0715934398 niweze kukuonganisha wa husika.