NAHITAJI WAALIMU WAWILI 2 PHY & MATHS

NAHITAJI WAALIMU WAWILI 2 PHY & MATHS

CHIPANJE

JF-Expert Member
Joined
May 1, 2011
Posts
321
Reaction score
53
Nafasi za (2) za waalimu

1: awe anafundisha Physics- ni sharti awe female

2: awe anfundisha Mathematics- ni sharti awe male

Sifa za mwombaji
Awe na elimu ya Diploma tu.

NB: Kwa walio na elimu zaid ya diploma hawaruhusiw ku-apply

Shule ya seminary (O-level) ipo mkoani Lindi. Kwa watakaopata nafasi watahitajika tarehe 5 January wawe wamereport.

NB: Kuhusu mshahara, ni maelewano kwa waliotayari.

Offer:
Waombaji,watapewa nyumba za kuishi, watahudumiwa kimatibabu vyote bure.

Kwa mawasiliano

0629836915
 
History vp naweza pata nafas au civics
 
Mood futa hii thread, maana umekaa kibaguzi aisee
 
Mnatafuta walimu wa kuwalipa 80 kwa mwezi, ndio maana mnalilia diploma
 
Female Physics? Naona mnabana matumizi na kuongeza vilaza tu.
 
Mkuu kwani hawapo wadada wanaofundisha masomo hayo? Binafsi nilifundishwa na mwanamke chemistry na physics.....na alikuwa vizuri sana
 
Nadra sana hata wakiwepo wachache wanakua vizuri kama mwalimu wako

Walishatengeneza mentality wao wenyewe masomo ya sayansi magumu/phys,math na chemistry hivyo ajiangalie kupata bora mwalimu.
 
Hawezi kumpata kwanza, wakuaanda kabisa practicalllllll.... , kusogeza msuli wa electonics, electromagnetic, heat, na nyinginezo atariii

Physics n baba lao mtot wa kike hawezi kabisa ...n mchuzi wa mbwa wanakunywa wachache sanaaa
 
Kabisa mkuu , kale kabinti (Lucylight Marya) kaliongoza kitaifa kidato cha nne 2010 licha ya kupiga 'A' zote ila phys kaligonga 'B' na kalikiri mbele ya waandishi wa habari kuwa moto wa physics ni konk ..kumbuka hiyo ni O-level je vipi Advance wazee wa Mechanics na maprojectile range yake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom