Nahitaji vyuma (vya kujenga mwili)

Nahitaji vyuma (vya kujenga mwili)

MwanaSaikolojia

Senior Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
197
Reaction score
62
Habari wakuu,

Kwa ambao wanafahamu naomba wanielekeze sehemu ambapo wanauza vyuma vya GYM.Mie nlikua nataka vile vidogo vya kuinua kila mkono chake.Kama kuna mtu anavyo anauza au kama unajua sehemu ambayo naweza kupata hapa Dar naomba unielekeze.
 
nenda kariakoo, karbia na benjamin mkapa secondary
 
Back
Top Bottom