Nahitaji Vitz Old Model namba C au B (bajeti yangu milioni 3)

Nahitaji Vitz Old Model namba C au B (bajeti yangu milioni 3)

Kwann usichukue boda mpya mkuu uwe unapenya kwenye foleni maana kwa bajeti hyo gari utapata lkn itakusumbua sana
Nimependelea gari ,,sababu nina familia ,,so itanisaidia hata kutoka weekend,,hata kusafir mkoa pia
 
Kwa umbali wa kazini na nyumbani unafuu wako ni pikipiki hasa ATV (pikipiki tairi nne) ina usalama kidogo.
Ila kwa gari bado utakaa foleni za ajabu uwatamani waliosinzia kwenye daladala.
Hahahaha ni kwl swala la foleni ni changamoto hususani kwa mji wetu wa Dar ,,ila tunaamini ipo siku itabaki ni kumbukumbu ,, Lakin pendeleo langu kwa sasa Ni Gari mkuu ,,nilishawahi miliki pikipik huko nyuma Alhamdulilah
 
Kaka we acha thu ,,ndo utumwa ndugu Yangu ,,mwanzoni nilibaki kdg nikate tamaa ,,sema nikiangalia familia ndo Ikawa inanipa nguvu Ya kupambana ,,, Yan kiufup muda wa kupumzika ni mdogo sana ,,ila ndo hakuna jinsi kwako ni kwako
Umepambana weee halafu unakuja kuta wife anagawa uroda sehemu...🤣🤣🤣
 
Dah hivi [mention]Kelsea [/mention] isingekua ile mission kule chini
Me chuma ngeshamiliki afu kali tu
 
Nenda instagram..uko utapata mapema...sossy na jacktan..wana magar ya bei hiyo
 
Back
Top Bottom