Nahitaji vitu vya ndani

Nahitaji vitu vya ndani

Man Mvua

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2016
Posts
2,179
Reaction score
3,522
Salaam....
kwa yeyote anayeuza ama anamjua anayeuza vitu vya ndani basi tuwasiliane 0756200086,0655646568,0786477112 DAR ES SALAAM.
 
Toa maelezo ya kutosha, vitu gan vya ndan unahitaj
 
vitu vya ndani kama kitanda, godoro, meza , viti,dressing table, pazia, na kadhalika.
 
Mustaphagentlmkablmpost: 18001560 said:
Ntakupa ndo Naelekea huko Kariakoo leo
utanikuta hapa Agrey mkabala na office za Simba coach nauza mashati ya kiume na suruali.
 
Salaam....
kwa yeyote anayeuza ama anamjua anayeuza vitu vya ndani basi tuwasiliane 0756200086,0655646568,0786477112 DAR ES SALAAM.

Mkuu mimi ninavyo sofa,kabati,kitanda,godoro nk,nitafute kwa 0621003284 nipo dar.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom