Nahitaji vitu vifuatavyo kwa haraka

Nahitaji vitu vifuatavyo kwa haraka

akohi

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2012
Posts
787
Reaction score
527
Salama wakuu.

Nahitaji mzani wa kupimia kilo zaidi ya mia ule unakuwa na plate ya kuweka mzigo na unasoma kama saa (sijui unaitwaje).

Nahitaji reliable supplier wa mifuko (vigunia) vya kupaki unga (sembe, dona, lishe etc) 0.5kg, 1kg, 5kg, 10kg na 25kg na viwe lebbeled with my logo and details.

Nahitaji machine ya kufunga mifuko baada ya kupack unga.

Nahitaji reliable supplier wa mahindi mazuri na makavu kwa ajiri ya kusaga na kukoboa ...kwa kuanza ntanunua tonn tatu (3000kg).

Ntahitaji picha kuona mf wa kazi au bidhaa yako husika.

Naishi geza ulole. Kigamboni. Temeke

alfredmkohi@gmail.com
0784/764 800989
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom