Nahitaji mifuko ile ya nailoni nyeupe ya kupimia kilo moja na kilo mbili hivi - ile mifuko ya kawaida kabisa sio ile yenye seal (sihitaji ile ya rangi) na Vifungashio vingine tofauti tofauti
Naweza kupata wapi kwa Jumla (carton)